Uchaguzi 2020 TBC, sasa tumewachoka kwelikweli, mnachochea hasira kubwa msiyoweza kuizima

Usipoyapenda wewe inatosha....kwangu haki tu CCM nayo ya wananchi kwani ni ya wabelgiji?? Hao wabelgiji waombe kwa mabwana zao wawafungulie nao stesheni yao yakutangaza matusi 24/7
 
Kiongozi wenu si aliwafukuza TBC? Leo hii mnataka ifanye coverage ya matukio yenu kwanini hasa? Na tangu lini kifo cha CCM kinakuuma wewe?
Kama TBC kuitangaza CC ndio kifo cha CCM wewe inakuumia hapo nini, Tulieni dawa iwaingie
Tuseme tu ukweli kutotangaza wapinzani ni mkakati maalumu. Magazeti ya serikali Daylynews na Habari leo nao umeona wakiandika vyama vya upinzani? Lakini Mungu ni mkubwa habari zinanawafikia wansnchi nzima nzima sio vipande vipande. Ndio maana unaona mwitikio wao kwenye kampeni.
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu.Mmeteswa sana miaka 5 bila ongezeko la mshahara,kupanda madaraja,increments,malimbikizo n.k.

Mpigie lissu kura ubarikiwe pia.
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu.Mmeteswa sana miaka 5 bila ongezeko la mshahara,kupanda madaraja,increments,malimbikizo n.k.

Mpigie lissu kura ubarikiwe pia.
 
Usipoyapenda wewe inatosha....kwangu haki tu CCM nayo ya wananchi kwani ni ya wabelgiji?? Hao wabelgiji waombe kwa mabwana zao wawafungulie nao stesheni yao yakutangaza matusi 24/7
Ujinga haujifichi, wabelgiji wametoka wapi hapa? Kila anayependa haki ni CHADEMA?

Kosa kubwa la wabelgiji ni kumtibia Lissu na kupona? You are such an idiot
 
Namuona Masanja anavyoziabudu flyover mara tu na jezi zake za CCM.. Hii channel imeshakuwa ya chama hakika
 
JPM Muharibifu sana yaani kaamua kwenda kuharibu pitch tunaoutegemea wa Tiafa wakati hata kuujaza kashindwa ......kwani angesema wakae majukwaani si ingekua sawa ....au kwakua anajua hawatajaaa
Hapo jirani kuna uwanja wa Uhuru kwanini hawakuutumia ......?
 
Ujinga haujifichi, wabelgiji wametoka wapi hapa? Kila anayependa haki ni CHADEMA?

Kosa kubwa la wabelgiji ni kumtibia Lissu na kupona? You are such an idiot
Ndo idiot anakutawala wewe mwenye akili utajisaidiaje mwenyewe zaidi ya kutoa povu tu mitandaoni huku idiot akifanya vitendo vya kukuzidisha kukamua hilo povu lako
 
Ndo idiot anakutawala wewe mwenye akili utajisaidiaje mwenyewe zaidi ya kutoa povu tu mitandaoni huku idiot akifanya vitendo vya kukuzidisha kukamua hilo povu lako
Muda ni muamuzi mzuri, kila kitu kina majira yake, hata Uganda ilitawaliwa na juha Idi Amin, Sudan, Congo, ujerumani nk.

Ilifika tamati hawapo tena, ila idiot ni wewe kwa upeo wako wa kufikiri
 
Umenichekesha😁😁😁😁
Nitaanza na mimi kuangalia minenguo wiki ijayo nitakapoanza likizo ya kwenda kupiga kura.

Ila pia wakati ule wamefukuzwa na mbowe waliumia lakini walikaa sasa sijui waliyamalizaje.... maana kuna kukubaliana kutokukubaliana au kukubaliana kukubaliana.

Maendeleo hayana vyama
 
Muda ni muamuzi mzuri, kila kitu kina majira yake, hata Uganda ilitawaliwa na juha Idi Amin, Sudan, Congo, ujerumani nk.

Ilifika tamati hawapo tena, ila idiot ni wewe kwa upeo wako wa kufikiri
Hakukua na ma keyboard warrior huko........watu waliingia mtaani badala ya kukomaa kutoa povu tu mitandaoni......povu lako mwenyewe unataka mtu aje kukusaidia kutimiza kilicho kichwani mwako......pambana na hali yako.......mwenye akili anaeshindwa hata kuingia barabarani kurusha kakokoto kuonyesha msimamo wake anabaki tu kulialia kwenye keyboard...............
 
Basi bwana imetosha nimekuelewa
 
Ni aibu na fedheha Television ya Chama kuhadaa Umma kwa kujiita eti ni Television ya Taifa. CCM wametukosea adabu mno.
Nafikiri ni kwasababu wanatumia Kodi za watu wa Taifa la TANZANIA.
 
hahaha aingie road au sio.huyu ataishia kutweet tu hapo si kazi hata hajaamka .eti ujeruman.
ufipa keyboard warriors
 
hahaha aingie road au sio.huyu ataishia kutweet tu hapo si kazi hata hajaamka .eti ujeruman.
ufipa keyboard warriors
 
Sikumbuki mara ya mwisho ni lini kutazama TBCCCM.Naweza vunja TV yangu kwa sababu ya utopolo wa warusha vipindi.
 
TBC walifanya uungwana walienda kwenye kampeni za chadema, MBOWE akawatimua kwahio waaache wapige kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…