Ukiwa mnywaji wa alter mara kwa mara lazima utakutana na hizi changamoto maana hata kuna marafiki zangu nao wanalalamikaga.Bas alter ina kisirani na ww...mm kama sitak lewa ndo nakunywa alter wne...ila dompo hata bure sitak...inakausha sana koo asbh saut inakuwa ishu! Na koo linakuwa linawaka..sitak hata bure .tumia st anna mkuu au wine mtungi!
uache pombe sasaSitasahau ilinilaza msikitini *****
double kick nilikunywa mzee sio poa nili waka hatariii siku hiyooo nilitapikaaa balaaa mpaka leo sijanywa tena... ila kiukweliii ina balaa zitoo sio poa. nilikuwa naipenda kama sina pesa maana nikipiga kamoja tu kichwa kiko safiPombe hatari ni KITOKO NA DOUBLE KICK.
K Vant hakikisha umekula ndio unywe. Pia ukinywa hiyo usichanganye na pombe nyingine. Ukikosea haya mashari itakula kwako.
Ile ni gongo tena grade 1. Haifaidouble kick ilikunywa mzee sio poa nili waka hatariii siku hiyooo nilitapikaaa balaaa mpaka leo sijanywa tena... ila kiukweliii ina balaa zitoo sio poa
daaahh aseeSio permanent mkuu.!ila mm kila nikinywa bas jua tukio za siku hiyi zote zitajidelete..last tym nilimfata mwanangu shule nikaamua kunywa ..nilirudi hom nashangaa asbh kuna mtura na juic za kutengeneza aise ilibdi nimuask dogo..akasema si tumenunua jana?? Khaaa..mm wakununua mtura?🤭🤭..nilikua na hela kwa simu ilibidi niangalie twice..maana hukawii kudaiwa 12000 ukahamisha 120000/=..sitak tena
Yaani nitoke Dodoma nije mpaka Moro kwa Kvant tu.Madame B: leo uje tuikunywe , tukutane TERMINAL PUB-Msanvu🤓🤓🤓
hahahaahaha mimi ili mpanga mtu nika mpa mchngo wa akili kuja kuamkaaa amenifata ananiambiaaa kwani na kumbuka sasaNilijua ni mimi peke yangu Kumbe ni wadau wengi.
Juzi nilipiga nikarudi hom fresh, nikapiga story na mke mpaka usiku mnene,kuamka asubuhi mke wangu ananiambia twende basi ulikosema jana, nikabaki nashangaa tu.
Itakuwa.Mm hainiletei hizo..au kwasababu mostly najinyweaga alone sinywi na babe!..mm bwana st anna bwana🖐
K vant inaweza kukutoa nishai kama unamix na bia...!ila bas ni kichwa na kichwa...mm kvant hainipeleki puta zaidi ya kunifitia memory zangu.Itakuwa.
Hivi hushangai bar nyingi wanaume wanaokunywa kvant lazima wang'oage mademu.
Yaani ile hupindui aisee.
Unaweza enda bar alone, ila huo msururu utakaorudi nao...hatari.
Siku jaribu kunywa na babe uone, atakuja kunishukuru.
Japo ukiizidisha lazima ikudhalilishe kama usipoi-control vyema.
Upo bibie....missing you 🥰
Yaan hiyo ingredient waitoe aisedaaahh asee
ni hatari tu sijui wanaweka nini?
Hahahaha
Juz ilibakia kidogo ning'oke meno yote ya mbele
Duh!K vant inaweza kukutoa nishai kama unamix na bia...!ila bas ni kichwa na kichwa...mm kvant hainipeleki puta zaidi ya kunifitia memory zangu.
Ila nikimis kuchetuka namix na desperado yelewiii🤣🤣...nipo aisee...! Baridi kinoma Geita
Inafuta nini?Kitaa tunaita K-VANT kifutio
Hhahahhaa chizi ww.! Ila kvant ina mizuka mizuri sana!sema ina maconfidence kama unayosema🤣🤣! Karibu tenaDuh!
Nimetoka Geita juzi mwaya.
Me namix na castle lite.
Basi nikinywa kvant mzinga mkubwa na bia zangu 3...naona kama bar nzima naimiliki mimi.
Yaani hapo ni full handasi....lazima niondoke na jinsia ingine.
me k vant huwa naifanbnisha na binti mrembo.mimi natumiaga gongo no 1.ya jero tu nkinyw nalewa wiki nzima