TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

Hapa nimeandikiwa sms " mbona kimya?" Nimeuliza kuhusu nini? Naambiwa si ulisema unanilipia kodi miezi mitatu ' duh nimekua mdogo balaa' Naunga mkono hoja ya mtoa mada'
ahahahahahahahahahaah hatariiiiii mkuuuu
 
Afu kwanini ukinywa lazima uwaze kwenda kufanya ngono.
Sijui ina nini....japo ni nzuri na inachangamsha sana
Miezi miwili iliyopita nilikunywa kwa Mara ya kwanza aisee nilinunua Ile ya Kati aisee duuh

Mimi bia hata Saba nikinywa huwa nakuwa fit yaani huwezi gundua nimelewa natembea kikamavu kabisa

Ila K VANT ilinifanya nipepesuke kwa Mara ya kwanza[emoji1787][emoji1787]
 
Hii ndo kazi ya pombe kusahulisha mambo hata maandiko matakatifu yanasema hivo
 
Mnatafuta sababu kuingia vyumba vya mademu bila taarifa kwa kusingizia K-VANT....
 
Walevi wenzangu kuleni Samaki kwa wingi,inasaidia kutopoteza memory.
Kvant naipiga sana mie.
 
Hahahahahahahahhahahahahahaha...ss walikusaidiaje usk huo na una alcohol mwilini🤣🤣🤣🤣! Khaaa ww sikuwwzi .bas ww mizuka yako ni level nyingine hahhaaa nicheze juu ya meza? Wee nibilingite chini inahu? Ila mm nataka kucheza tu aise nisizuiwe!miziki fulani hv..sio bongoflava😒
Acha tu.
Inaweza kukuletea aibu mwaya.
Mie sahv nainywa kwa kiasi japo si sana
 
Miezi miwili iliyopita nilikunywa kwa Mara ya kwanza aisee nilinunua Ile ya Kati aisee duuh

Mimi bia hata Saba nikinywa huwa nakuwa fit yaani huwezi gundua nimelewa natembea kikamavu kabisa

Ila K VANT ilinifanya nipepesuke kwa Mara ya kwanza[emoji1787][emoji1787]
Yaani Kvant sijui ina nini.
Unajiamini sana.
 
Back
Top Bottom