MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
ahahahahahahahahahaah hatariiiiii mkuuuuHapa nimeandikiwa sms " mbona kimya?" Nimeuliza kuhusu nini? Naambiwa si ulisema unanilipia kodi miezi mitatu ' duh nimekua mdogo balaa' Naunga mkono hoja ya mtoa mada'