Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Eeh mazee ndio huyo Mjaluo si unaona yule jamaa kwenye picha ni mweusi tiii 😃Ya chuga ilikua ni nyagi Ile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh mazee ndio huyo Mjaluo si unaona yule jamaa kwenye picha ni mweusi tiii 😃Ya chuga ilikua ni nyagi Ile.
Hahah daah kiswahili kimekua arifu,sikua nimekusoma.Eeh mazee ndio huyo Mjaluo si unaona yule jamaa kwenye picha ni mweusi tiii [emoji2]
Tunashukuru kwa utafiti Murua
Hivi kuna mijitu inaona(ga) nyuzi za kucomment zimeisha sijui? Kichwa cha uzi " Tbs iangalieni K- vanga' wewe hunywi, ooh sio mlevi,, asa umefata nn humu? Na umejuaje K- Vanga ni pombe? Sijaquote tu muhusika kupunguza mikwaruzano humu' ''##sie walevi hatuna makuu na mtu
Unajua maana ya feki!!!?Nadhani TBS hawafanyi kazi vizuri! Vinywaji Vikali vingi ni Feki! Sabuni za kuogea nyingi ni feki, mfano ni sabuni ya deto na nyinginezo, dawa za miswaki ndio kabisaa ubora ni sifuri!
TBS piteni kwenye hayo masuper market chukueni sample mjionee watu wanavyokula sumu! Cancers nyingi Tanzania zinazalishwa na hizi bidhaa!
week bila masanga kwangu ni kama nanyimwa uhuru wa maoni huwa naweka stock yangu ya red rose beer(16) nikiwasha 3 nakuwa mbele sana
huko mwanzo nilikuwa mpenzi wa konyagi sana
sasa nikarudi home likizo yangu ndo naona k vant kwa mara ya kwanza nikamwambia bwana mdogo tuishi humo nipate wasaa wa kuisikia ukali wake maana nimekuwa naona vijana wanapeta nayo sana na boda boda
tuko watu 4 chupa ya 1,ya pili nikaanza kuona kwa shida sana😀😀 pombe gani unakunywa unatoa machozi tu bwana
Ile imeisha dogo akanirudisha ghetto niko bwax sijawahi kabisa home nimerudisha chenji nyingi na bomba la maji nimevunja nikijidai kunawa kipara changu. asubuhi nauliza nimekuja vp hapa nyumbani
na huo ndo ulikuwa mwisho wa k vant maana kupoteza memory hiyo me huwa inanikata sana🤣🤣
Kunae mwana akinywa hiki kinywaji badala ya kufurahi yeye anaanza kulia akilaumu kila mtu na kwao eti hapendwi
mnaanza kutuliza mtu mzima kama mjane
Unaita konyagi ni mjaluo.....???Kvanga ilikuwa poa sana naona wameifeki sana nimerudi zangu kwa Mjaluo saafi Ila nae naona juzi wamekamata fekero kule Arusha, sijui wanataka tunywe nini?
Wana mix na viagraHii k-vant nimeiacha kabisa niliinywa nikamgonga demu wangu, mda mrefu. Ananichukia hadi leo kosa wazungu walichelewa kutoka ikabidi nimsigine kwa mda. Alinilaumu eti nilimeza dawa za kuzuia ejaculation ili nimkomoe. Hii kweli ichunguzwe watakuwa wanaweka kitu siyo bure.
Sasa mtu ana kiwanda chake kidogo, anakamatwa.. Tuwawezeshe wajasariamali wenye viwanda vidogo vidogoKweli serikali inatakiwa iingilie kati. Kiuhalisia hizi pombe kali za hapa kwetu sio kabisa. Yaani sio ambacho wanywaji wanaaminishwa ndicho. Nyingi ni sumu.
Imagine pombe kama Diamond, Kitoko, HighLife and the likes. Hizo ni gongo tu kama gongo.
Hizo Konyagi na Kvant nazo zinachakchuliwa sana. Juzi Arusha kuna mama amekamatwa na mtambo na vifaa vya kutengenezea Konyagi kwenye chumba.
Unajua maana ya feki!!!?
ama unaongea ongea tu!!!?
feki ni kitu ambacho hakijatengenezwa na muhusika halisi...
sema kv ni below standard tutakuelewa
hata k-vant nina wasi wasi nayoo maana kuna moja tulikunywa ilikuwa kali kupita maelezo na tulikunywa sip 4 tukashindwa tuka mwaga tuka mfata yule jamaa alie tuuzia akasema yeye ana nunua kwa mtu na siio kampuni ambayoo huwa inasambaza yenyewe. uka muitikia tukasepaUnajua maana ya feki!!!?
ama unaongea ongea tu!!!?
feki ni kitu ambacho hakijatengenezwa na muhusika halisi...
sema kv ni below standard tutakuelewa
Mi k vant sitaki tena ,nilisinzia nikiwa mwendo wa km 120 kwa saa nikahama barabara thank God sio town kati.sijui ingekuwa kwenye flyingover ya ubungo nyieee
Huo ni ushahidi wa feki....mkuu umeona wale walio kamatwa wana tengeneza diamond fake wana kila kitu mpaka stika za tra na lebo, na pia walikuwa wana tengeneza na konywagiii wanachofanya ni kuchukua formula tu ya kicnywaji na kucopy basi sema waoo wana shindwa ku balance so mtu akisema fake zipo
Angekuwa wa kiume, angekurambaNilienda bush msibani kukawa hakuna wine wala beer tulizozizoea mjini.
Huko ni safari, balimi na Kvant...nikasema bora ninywe Kvant.
Haikupita masaa mawili nililewa vibaya nikapandishwa kwenye gari kupelekwa home...ile nashuka nikatapika nyama yote niliyoila.
Cha kushangaza aliyenipeleka home hadi leo simkumbuki. Kila nikiwauliza watu nani alinipeleka wanacheka. Nachojua ni ndugu yangu mmoja wa kike