Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Wanyaki mmewaovertake wachaga kwa spidi kubwa sana 😹Mwamposa huoni alivyowashika watu....nainuka muda si mrefu...tulia hapohapo 😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyaki mmewaovertake wachaga kwa spidi kubwa sana 😹Mwamposa huoni alivyowashika watu....nainuka muda si mrefu...tulia hapohapo 😊
Huko kila jambo liliwezekana maana kuna watu walikwenda na semiJe, unakumbuka nini kuhusu Babu wa Loliondo? Naamini gen z wengi wamelisikia tu hili jina kwa juujuu.
Nataka niwe kama mchungaji mama Lwakatale🤣🤣🤣🥴Wanyaki mmewaovertake wachaga kwa spidi kubwa sana 😹
Kanisa biashara ya uhakika sana, utapiga pesa.....uwe tu na kondoo wa kutoshaNataka niwe kama mchungaji mama Lwakatale🤣🤣🤣🥴
🤣🤣🤣We tulia hapohapo,nitaokokea humohumo aiseeKanisa biashara ya uhakika sana, utapiga pesa.....uwe tu na kondoo wa kutosha
Walienda wengi sana.JPM nae alienda.
Sagaji la nairobiNataka niwe kama mchungaji mama Lwakatale🤣🤣🤣🥴
Ndo alikuwa hivyo?Sagaji la nairobi
Na waliotoka mataifa mengine unasemaje?Hii ilidhihirisha kuwa watanzania ni wajinga.ukiwaambia hata mkia wa fisi unatibu magonjwa yote ukiula wataamini.
Hapa ndio tulionyesha without shadow of doubt kuwa watz kuja kuwa dona kantry ni impossibleWalikua wajinga sana
Hilo sio tatizo kila mtu miti anaijuaHakuna formula yoyote man, mti wa Moringa ni jamii ya miti dawa inayojulikana kimataifa, ipo kwenye kundi moja na akina aloe vera,mlonge, na mwenzake muarobaini, miti yote hii inatambulika kuwa ni tiba kwa magonjwa mbalimbali ya binaadamu na wanyama na pia ndege, issu iliyokuwepo pale loliondo ilikuwa ni ku exagerate ubora wa tiba hiyo, na kuufanya mti wa moringa kuwa unique kuliko miti hiyo mingine, hata wewe ukiweza kuutangaza muarobaini kwa namna ile utapiga hela vizuri tu.
Mkuu usilaumu watuHiyo ilionesha Watanzania wengi ni wagonjwa, waliokosa kuelimika na waliokata tamaa ya maisha
Ilifikia kipindi mtu anamwondoa mgonjwa wake Hospitali ya Taifa Muhimbili eti anampeleka Kwa huyo Mzee huko Loliondo akanywe Kikombe cha dawa🙌
Sasa hivi wamehamia Kwa Mitume wananyweshwa Maji na kukanyaga mafuta 🙆
Tuna safari ndefu kama Nchi