TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

1644149522589.jpg
 
Pia No Challenge lilitumbukia mto Wami. Baada ya hapo wakabadilisha jina na kujiita Tashrif
Sio wami ni kibanda muheza huo mto sio mkubwa ila basi ilizama na kukotwa mpaka machakani na maji. Mpaka Leo Pana mnara wa kumbukumbu ingawaje Ile sehemu iliondikwa majina watu wamechukua lile bango
 
Ifunda Tech chuma yao ipo Museum hapo shuleni...hii iliwabeba wanafunzi kuwafikisha Makambako wadake TAZARA kurudi makwao.
1751078659.jpg
 
Matema Beach Video Sleeping Coach DAR-KYELA nauli 20000. Ngoma hizi alikujaga akaleta Matema Sleeping Coach Engine nyuma zilikuwa Double diff acha kabisa saa 9 alasiri ngoma iko Lubanda inaitafuta Kasumulu...pale Lugombo jirani la Luwalisi Tea farms zilikuwa zinamwagika sana kuna kona ikabatizwa jina KONA YA MATEMA...Mzigo TZJ route hii ya Kyela miaka ya 90 Matema alisumbuana sana na Baby Face ilikuwa na mdoli wa Michelin kwa juu pale ilikuwa fire moto hatari 8 kamili iko Uyole...
images%20(22).jpg
 
Habari marafiki,,, Niko na ratiba ya kusafiri kwenda Oman mwezi wa 8,,, Kuna vitu naomba msaada wa kuvifahamu.
1. Nauli kutoka Dar-Nairobi
2. Namna ya kusafiri kutoka Nairobi to Addis Ababa.
3. Addis Ababa to Muscat najua hapo ni aeroplane itahusika.
Niko interested na hii njia kwani ndiona Ina gharama ndogo.

Option nyingine ni direct from Dar to Muscat-Oman,,, hii nayo naomba maelezo yake.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom