dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
skiza, nafuata hatua hizi hapa:Mbona hautazami kopo la BabyCare ? hapa unagundua kuwa kumwiingilia mwanamke ni hitaji la mwanaume.
#TafutaMkeUoe#NyeyohNiUbatili
Mnatukana Serikali ya Mama mnajificha kwenye IP Adress virtually.Yaani eti ndio think tank wenu hao wa kusukuma gurudumu la maendeleo
Unaambiwe uje na mbinu ya kukusanya hela unatunga haya seriously
Kuna mambo mengi ya kupatia mapato ila hili mmh
Wasitishe watu!... Wadhibiti kama wanaweza! Kitambulisho cha Taifa tu kimewashinda!.... Sembuse VPN!?Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu...
Kama ni hivyo sawa.Mnatukana Serikali ya Mama mnajificha kwenye IP Adress virtually.
Unajua hii nchi ina vituko sana mkuu, vitu vingine mpaka unajiuliza, hivi hizo PHD zinazokaa kwenye ofisi za umma, zinawaza sawa sawa kweli?Twitter mbona mzigo upo hazarani yani oya oya bila kisimbusi
Hamna madhara ni upevu mdogo wa TCRA.Wadau kwani madhara yakutumia vpn ni yap mbona kama sielewi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio maana kule viewers wanaongezeka lakin huku mtaani ukimuuliza Kila MTU anasema haangalii [emoji23]
Mkuu, connection Please...Twitter mbona mzigo upo hazarani yani oya oya bila kisimbusi
Waanze na mashirika yao wenyewe yanatumia VPNVPN zinatumika kweye makampuni yote makubwa kwa ajili ya usalama wa kuvuja kwa taarifa zao za kibiashara.
TCRA wajiangalie upya πππππ wanasikitisha na kuchekesha kwa wakati mmoja.
Kwa kifupi hawajielewi.Waanze na mashirika yao wenyewe yanatumia VPN
Ujipange.Mimi binafsi Huwa banatumia VPN ku access Baadhi ya pilau Sasa sijaelewa TCRA wanatakaje.
Kwamba ku download apple ya VPN na kupakua pirau ni kosa la jinai ama TCRA wanamaanisha nini...
π€£π€£π€£Wkt unaingia mjini daslam stand uliikuta ubungo au mnazi mmoja?