Team “Kataa ndoa” wapuuzwe, hawana maadili, ndoa iheshimiwe na watu wote

Hakuna anayewaita mashoga lakini mnataka mabinti zenu nao wasiolewe wawe wagawaji?? Maadili gani
 


😶😶😶 kweli mzee wanatupondea Sana nakutupa sifa za uongo.
 
Hakuna anayewaita mashoga lakini mnataka mabinti zenu nao wasiolewe wawe wagawaji?? Maadili gani
NDOA sio lazima, atakaeoa na kuolewa na afanye hivyo kwa sababu zake na asietaka pia asioe kwasababu zake. Kila mtu ashinde mechi zake
 
Nilichogua kubali ndoa ndo kataa ndoa hawa ni MTU mmoja

Akiumizwa na kusalitiwa anasema kataa ndoa

Akifumania nyavu kisaswa sawa anasema kataa ndoa ni mashoga
 
Ongea Kama baba/baba mtarajiwa kwa binti yako? Ungependa azalie nyumbani??
Akifika miaka 18 nitakua nimemwandalia maisha yake tayari , ana uhuru wa kufanya kila atakacho kipenda na hato kaa kwangu tena .
 
Nimependa tutumie familia yako maana mtoto umleavyo ndivyo akuavyo!! Je ukipata mtoto wa kike utamfundisha akatae ndoa agawe wastani kwa idadi??

Kama hauwezi basi si vyema ukafanya hivyo
Mkuu mm wazazi wangu wamefunga ndoa zaman sana na wanaishi wote hadi now zaidi ya miaka 29 now.

Haya unataka kusema nn??

Sisi hatuna shida na FAMILIA Tunasisitiza vijana wawe na Familia tupate wanachama wengi.

Tunachokataa ni NDOA, HAKUNA KUOA na Kujinyima uhuru.

Familia haihusiani na Ndoa

#KATAA NDOA
 
Mzee wako nampa kongole sasa wewe baada ya kupata papuchi za kununua unaona huhitaji mke 😃😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…