Team “Kataa ndoa” wapuuzwe, hawana maadili, ndoa iheshimiwe na watu wote

Ajali yoyote inakuaga na viashilia
Usipovikemea viashilia hivyo hupelekea ajali(tukio)
Kukataa ndoa ni matukio

Ikiwa lengo lenu ni kukomesh wimbi la kataa ndoa.. basi tumieni muda kwenye viashilia vinavyowafanya watu wakatae ndoa na sio kupalanguana na matokeo
 
Umeongea kwa uchungu sana aisee.

Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…