Wewe Tulia wewe siri za TEC wanaojua vizuri kwa undani ni wafanyakazi bandarini na TRANenda Kwa MUNGU ukazuie maombi yetu, haujakatazwa kuomba Kwa Imani yako
Kwani wanaomba kwako!! We usubiri tu. Kama Eliya peke yake aliomba mvua isinyeshe kwa miaka mitatu na akasikilizwa. Hao wacha Mungu unawajua?Sidhani kama hii itasaidia, nchi nyingi duniani ikiwemo Congo kuna wacha Mungu wengi sana lkn kila siku wako kwenye taabu kwasabb ya wanasiasa na siasa zao mbovu
Mbona unatanguliza hofu ya kufa tu. Hawajasema wanaomba mtu afe Bali HAKI NA AMANI. Sasa kuna ubaya gani hapo?Nakukumbusha yafuatayo:-
1. Mke wa Karume yupo
2. Wake wa Sokoine wapo
3. Wake wa mzee Ruksa wapo
4. Mke wa Abdulwakil yupo
5. Mke wa Nyerere yupo
6. Mke wa Mkapa yupo
7. Mke wa Lowasa yupo
8. Mke wa Kingunge yupo
9. Mke wa Deo Filikunjombe yupo
Kama una akili utaelewa.
Ahaa, kwa hiyo hapa kimsingi unakubali (with a logical caveat ya bila kujali) kuwa Mungu hapa ni tamthiliya tu ya kuwaunganisha watu?
Hilo la kwamba Mungu ni tamthiliya tu ndiyo point yangu.
Sasa huoni kwamba kwa sababu Mungu ni tamthiliya tu mnaweza kumuomba halafu asijibu?
Dini na Mungu ni dhana zilizotumika na watawala kuwahadaa watu kuwa maisha haya si ya kufuatikia sana, wafuatilie maisha ya baadaye ya uzima.wa milele. Sasa kwa nini mtu ajishughulishe sana na maisha haya ya kupita wakati kuna maisha ya milele huko mbele? So this dumbing argument goes.
Huelewi point yangu kwamba kazi ya kuifanya nyie wenyewe ifanyeni wenyewe, huoni kuwa hayo mambo ya kumuomba Mungu wa tamthiliya kwa kazi mnayoweza kuifanya wenyewe kwa kusema atawaunganisha ndiyo hadithi za Kinjekitile Ngwale kusema risasi zitageuka maji? Hiyo nayo ilikuwa tamthiliya, hiyo nayo iliunganisha watu, lakini je, risasi ziligeuka maji? Wakina Kinjekitile walishinda vita?
Pambaneni na hali zenu, habari za kumtegea Mungu kazi zenu ni maneno ya mfamaji anayetapatapa.
Actually hao watawala wakisikia mnamuomba Mungu wanafurahi sana kwa sababu wanajua Mungu hayupo.
Angekuwapo, wao na matatizo yao yote wasingeweza kuwa watawala.
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote asubiri kuombwa jambo la heri?
Why is prayer even necessary in a world where this God exists?
Kwa nini asiwape tu mnachoomba hata kabla hamjajua mnakihitaji?
Si cha heri?
Si ana uwezo wote?
Si ana ujuzi wote?
Si ana upendo wote?
Sasa kwa nini mhitaji kumuomba at all?
Umepiga danadana nyingi lakini hujajibu swali hili la msingi kabisa.
Tumeshakubaliana kuwa Mungu anaweza kuwapo kama muhusika wa tamthiliya ya kutungwa na watu.Tuanzie hapa: Kwamba Mungu hayupo. Hv ukisema kalamu haipo utaeleweka?
Hapana. Ni lazima uongeze spatial index. Mfano useme kalamu haipo mezani, au kalamu haipo kabatini.
Vivyo hivyo ukisema Mungu hayupo ongeza spatial index. Mfano Mungu hayupo ndani ya mfumo wa jua, au Mungu hayupo duniani, au Mungu hayupo ktk akili za watu.
Hapa nafikiria juu realism, fictionalism na conceptualism. Lazima kuweka msingi wa namna hiyo.
Mfano, under conceptualism Mungu Yuko akilini mwa watu. It is a universal that unites them. It is a source of action
Mpaka hapo common prayer is a reasonable thing to do provided that it is complemented by concrete actions.
Sijaongea lolote kuhusu realist God Ili mjadala uweze kusonga mbele
TEC inatumika vibaya na Fr Kitima.Wewe Tulia wewe siri za TEC wanaojua vizuri kwa undani ni wafanyakazi bandarini na TRA
Zikimwagwa humu na ushahidi juu wewe Katoliki utahama na kuishia kuwa mpagani
TEC wana usafi gani ? Hayo maombi wanasema waombe kwa usafi gani walio nao?
Kifupi kuwe na kuheshimiana serikali chafu wao TEC wasafi ?
Mbona wanataka kuchokonoa vitu ambavyo vikimwaga hadharani na kwa ushahidi kwaweza leta shida kwao
Hakuna novena yeyote ambayo Mungu ataikubali as long as TEC wamechagua upande wao. Wao wameamua kutetea CHADEMA na Tundu Lissu kwa sababu Fr Kitima ame usurp power zote za TECHiyo Novena kama watashupaza shingo! Kila jicho litaona ukuu wa Mungu, Bwana wa MAJESHI!
Tumeshakubaliana kuwa Mungu anaweza kuwapo kama muhusika wa tamthiliya ya kutungwa na watu.
Muhusika wa tamthiliya hana uwezo wa kujibu maombi.
You are engaging in an exercise of mass delusion.
First things first God does not exist outside of a fiction that you created.Swali nimelijibu kupitia premises ya 6, 7, na 8. Kama unayo objection ilete formally.
TEC inatumika vibaya na Fr Kitima.
Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!
Aamue moja avue mavazi ya altareni kama Dr Slaa aje kwenye mapambano. Asitumie madhabahu kutetea itikadi yake ya CHADEMA.
Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe
Lakini sikubaliani na msimamo wa TEC kwenye mambo ya Serikali, ni Fr Kitima ndiyo anawapoteza
Unajiwekea extra steps zisizohitajika.Unachisema ni kwamba a fictional character is an abstract entity and by definition abstract entities have no causal power. Agreed with a qualifier
Maneno causal power ni equivocal. Ama yamanaanidha physical causal power au intentional causal power.
Lkn, hoja yangu haihusu causal power. Inahusu intentional power na jinsi symbols zinavyohusika hapa.
Hoja yangu ni kwamba fictional characters are abstract entities which symbolize realities, and as such they have causal significance,
Tunatofautisha kati ya physical causes and intentional causes. Semiotic causation is possible through signs.
Hata kwenye sociology wanaongela sana symbolic interactionism katika mtazamo huu.
Kwa Hiyo bado hujaangusha hoja yangu.
First things first God does not exist outside of a fiction that you created.
And therefore, he cannot answer prayers.
So the entire prayer idea is an exercise in self and mass delusion.
Unajiwekea extra steps zisizohitajika.
Unajiumbia Mungu akupe nguvu za kupambana na adui yako wakati wewe mwenyewe unaweza kujipa nguvu za kupambana na adui yako bila kumuhitaji huyo Mungu.
Matokeo yake kitendo chako cha kumuumba huyo Mungu kinaleta extra and unnecessary complications.
Wengine, kijinga tu au kwa hila za kisiasa, watasema mnaingiza dini kwenye siasa. Wameshaanza kusema hili hapa. Kwa ujinga wa kutokujua kuwa mna haki ya kiutu kutumia imani yenu kama dira kwenye siasa. Na hii si kuchanganya dini na siasa.
Wengine, kijinga tu, au kwa hila za kisiasa, watasema hii ni vita ya Wakristo dhidi ya Waislamu. Wakristo hawampendi Samia kwa sababu ni Muislamu.
Keeping this secular would avoid all these unnecessary complications without losing any help from God.
Because God actually does not exist.
He is just a fictional character to enable people to engage in masss delusion.