Unajichanganya sana ndugu. Unaongelea Ukatoliki au hizo imani mchongo za makanisa ya kiroho?. Au hata hujui tofauti maskini. Ulimkuta lini mkatoliki ameanguka mapepo?Mnajifanya watu wamungu kumbe unafiki mtupu mahilizi machale matakataka yote mnayo ninyi mnaojifanya waenda peponi huwezi kuta mpagani kaanguka mapepo hililitakua laajabu sana
yote shina lake nihiloUnajichanganya sana ndugu. Unaongelea Ukatoliki au hizo imani mchongo za makanisa ya kiroho?. Au hata hujui tofauti maskini. Ulimkuta lini mkatoliki ameanguka mapepo?
Nimethibitisha kumbe hujui hata unachojadili.yote shina lake nihilo
Rasilimali gani imeuzwa? Imeuzwa shilingi ngapi?Kuna katiba inayotamka kuwa wazanzibari wataingia mikataba ya kuuza rasilimali za Tanganyika?. Nipe hicho kifungu cha katiba.
Amen!Asante sana mungu akupe baraka na Busara zaidi
Kuna kipengere cha 27 kwenye mkataba kinasema. Ni marufuku kuuvunja mkataba kwa namna yoyote ile!Duru ndani ya TEC hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu.
"....Wahashamu wengi hawaungi mkono sintofahamu hiyo na huenda Katibu akaelekezwa aandae Waraka mahsusi kulisemea hilo hivi karibu."
"....nadhani baadhi ya vipengere ndani ya makubaliano yake hata wao yamewaogofya kama ilivyo kwa Watanzania wengi! Na ndiyo maana wao kulitolea tamko hilo jambo ni suala la wakati tu."
"....Mhashamu Rais nadhani bado anapitia madodoso ya safari iliyopita kule Vatican lakini kwa mjibu wa Mkurugenzi wa Miito Padre ( jina kapuni) amealikwa kesho yaani leo kwenye mkutano uhusuo mkataba ule. Nimeongea na Padre ..... hata Baba Askofu wake ameshangazwa na makubaliano yale tena akiyaita ya AJABU NA YANAYOWEZA KUKUBALIKA KWA WATU WAJINGA!"
Acha unafiki au ujinga walishamtandika magufuli waraka wakamchana chana vibaya nakumbuka ulikua waraka wa pasaka ile... nadhani ulikua hujaja mjini badoNaona sasa ni muda wa nyoka kutoka shimoni....
Awamu ile watu walipokuwa wanapotezwa walikuwa wako kimya kweli.
Wengine walifunga hadi safari kwenda magogoni kupeleka zawadi za sanamu ya bikira Maria.
Isingekua mitandao hao ma askofu wangetoka?? Hawa wakisema binti ushungi lazima aufyate maana hao ndio wenye nchi waliokabidhiwa na muingereza ka hujuiNi kweli na hakuna haja ya kuhangaika mitandaoni
Naona sasa ni muda wa nyoka kutoka shimoni....
Awamu ile watu walipokuwa wanapotezwa walikuwa wako kimya kweli.
Wengine walifunga hadi safari kwenda magogoni kupeleka zawadi za sanamu ya bikira Maria.
Siyo kweli..Mi nachokaga hapo tu, sikuwahi kuwasikia awamu ile ila sasahivi hadi pini ikidondoka watatoa waraka hawa jamaa ni wanafki sijapata kuona
Ndani ya miaka yote 5, walitoa nyaraka mara ngapi hao maaskofu ???Siyo kweli..
Katika awamu mnayosema, hao watumishi walitoa matamko (nyaraka) yaliyosaidia kupunguza kasi ya utekaji, viroba, nk..
WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini
Kanisa Katoliki Tanzania limetoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, kinachoanza rasmi Jumatano ijayo tarehe 14 Februari 2018 [ambayo ndiyo siku ya wapendanao, Valentine. tusherehekee kwa Toba eeeh tafadhalini!]. Kipindi hicho hujulikana pia kama...www.jamiiforums.com
Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...
UJUMBE WA PASAKA KUTOKA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) TAIFA LETU, AMANI YETU A. UTANGULIZI "Fumbua Kinywa chako kwa ajili yake aliye bubu; Uwatetee watu wote walioachwa peke yao; Fumbua kinywa chako, uhukumu kwa haki; uwapatie maskini na...www.jamiiforums.com
Ndio tayari Bandari ishauzwa Ila wale wazee wa TEC ni vichwa Wana elimu kubwa kuliko darasa la 7 waliojaa bungeniMwisho wayote Bunge ndio watanzania woote likikubali ndio tayali Democracy imetumika nionyeshe tec itasaidia nini hapo
Kwahiyo walitoa waraka ndani ya pasaka moja tu, halikuwa jambo endelevu ?Acha unafiki au ujinga walishamtandika magufuli waraka wakamchana chana vibaya nakumbuka ulikua waraka wa pasaka ile... nadhani ulikua hujaja mjini bado
Wazee na waheshimiwe wazee wakikwambia hiki sio uwe unaelewaNdani ya miaka yote 5, walitoa nyaraka mara ngapi hao maaskofu ???
Wazee wataheshimiwa milele, lakini wakiwa wana hulka za kinafiki lazima wataambiwa ukweli.Wazee na waheshimiwe wazee wakikwambia hiki sio uwe unaelewa
Aseee ever since 2012 Ila kichwa chako kimekaa maandazi sasa ndio umemjibu nini hapo ?!Aseee ever since 2012 Ila kichwa chako kimekaa maandazi sasa ndio umemjibu nini hapo ?!
Bandari kuuzwa kwa waarabu sio Jambo jema wenye akili wanalijua hilo ndio maana wanasema kulikua na alternative nyingi tu za kufanya Ila sio kuiuzaWazee wataheshimiwa milele, lakini wakiwa wana hulka za kinafiki lazima wataambiwa ukweli.
Kwani nani kasema ni jambo jema ???Bandari kuuzwa kwa waarabu sio Jambo jema wenye akili wanalijua hilo ndio maana wanasema kulikua na alternative nyingi tu za kufanya Ila sio kuiuza
Una matatizo ya kiakili Mimi ni Baba yako au naweza kua Babu yako sio dada yakoKwani nani kasema ni jambo jema ???
Mbona unanilisha maneno wewe dada ???
Baba gani anapigapiga taarabu kama mtoto wa kike!Una matatizo ya kiakili Mimi ni Baba yako au naweza kua Babu yako sio dada yako