Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Bwana we nendeni mkasupport ushoga hukoNadhani umekosa kitu Fulani kwenye uelewa wako.Kwanza mleta mada hajataja source ya habari.Hivyo ni mambo ya hisia au tetesi.Iweje utukane?.Pili hata wakisema si watakua wameungana na watanzania wengine wanaopinga au kuunga mkono huu mchakatoSikia hoja ndio udadisi hoja yenyewe.Vinginenyo turudi enzi za JPM ambapo kuhoji ilikuwa kosa.