Tetesi: TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World

Tetesi: TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World

Si kweli ,kipindi kike haukusikia waraka wa pasaka?
Kaka ukiacha shekhe ponda na yule padri wa ngara wengine wote waliufyata kipindi kile tuwe wakweli na makanisani akienda kusali wanampa na nafasi atoe hotuba, hawakuwahi kuhoji wala hata hii mikataba haikuwa wazi, yeye ndio alikuwa muamuzi wa mwisho na wote tulibakia kisifia au kukaa kimya
 
Wasilamu walimkana shekhe ponda mchana kweupe hewa kabisa
 
Nchi yetu inamengi.......walete walaka kama zamani hizi tetesi hazisaidii
 
Mi nachokaga hapo tu, sikuwahi kuwasikia awamu ile ila sasahivi hadi pini ikidondoka watatoa waraka hawa jamaa ni wanafki sijapata kuona
Tatizo ni udini jamaa uwa hawapendi kuona muislamu akiongoza nchi hii ila ndio hivyo hawawezi kusema wazi bali wanamsakama kipindi chake chote cha uongozi ili mradi tu hakose raha.
 
Naona sasa ni muda wa nyoka kutoka shimoni....
Awamu ile watu walipokuwa wanapotezwa walikuwa wako kimya kweli.
Wengine walifunga hadi safari kwenda magogoni kupeleka zawadi za sanamu ya bikira Maria.
Hivi ulikuwa wapi huko ambako habari hazikuwa zinafika? Ule waraka wa TEC wa kwaresmi uliowakasirisha sana watawala wakati wa awamu ya 5, hukuusikia?
 
Kuna katiba inayotamka kuwa wazanzibari wataingia mikataba ya kuuza rasilimali za Tanganyika?. Nipe hicho kifungu cha katiba.
Rais yupo juu ya katiba na katiba imempa mamlaka wewe nani wakupinga acha uchonganishi bro ooho!
 
Hivi ulikuwa wapi huko ambako habari hazikuwa zinafika? Ule waraka wa TEC wa kwaresmi uliowakasirisha sana watawala wakati wa awamu ya 5, hukuusikia?
Labda wangonjera namapambio lakini waraka Mbwii!
 
Hivi ulikuwa wapi huko ambako habari hazikuwa zinafika? Ule waraka wa TEC wa kwaresmi uliowakasirisha sana watawala wakati wa awamu ya 5, hukuusikia?
Kwahiyo ndani ya miaka 5 yote, wao walitoa waraka mmoja tu wa kwaresma ?
 
Hao ni wapumbavu na wajinga kenge hao wanataka vatican na yule kiongozi wao supporter wa ushoga ndio waje kuichukua bandari?
Nadhani umekosa kitu Fulani kwenye uelewa wako.Kwanza mleta mada hajataja source ya habari.Hivyo ni mambo ya hisia au tetesi.Iweje utukane?.Pili hata wakisema si watakua wameungana na watanzania wengine wanaopinga au kuunga mkono huu mchakatoSikia hoja ndio udadisi hoja yenyewe.Vinginenyo turudi enzi za JPM ambapo kuhoji ilikuwa kosa.
 
Back
Top Bottom