Unapiga uchawa ukiwa wapi?Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
PhD za nini? Ebu ziongelee hizo PhD. Kama sio za education, filosofi, na makolokolo ya namna hiyo ili wakatumie kucheza na akili mgandoHivi huwa mnafikiti TEC ni kama hizo Pumbu zako!!! Uliza kwanza muundo wa TEC.Yale ni PHD yamejaa pale.
Samahani ndugu ni katika kuweka taarifa Sawa ili akiwa pale st nini sijui posta aelewe watu wanaelewa kila takataka kumuhusuOndoa neno chadema kwenye Uzi wangu kwasababu chadema ni laana
Wana PhD of latin languagePhD za nini? Ebu ziongelee hizo PhD. Kama sio za education, filosofi, na makolokolo ya namna hiyo ili wakatumie kucheza na akili mgando
Umeona ujerumani makanisa yanafungwa na kuuzwa? Kisa ni kukosa waumini.
Hizo PhD zikatumike huko makanisa yasifungwe.
Ni sawa na PhD la Chagga language aliyonayo Askofu wa jimbo pale dsm.Wana PhD of latin language
Chawa na wazalendo uchwara wafutwe kwanza.Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Nenda wewe kaivunje TEC, Kamvue wewe huo Upadre Fr.KitimaTumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Kitu haujui na kwa vile wewe sio mkatoliki, Kitima anaongea kwa niaba ya TEC yaan tec wanambwambia cha kuongea hata kama akija mwingine inakuwa vile vile TEC hawawezi kutoka wote waongee wanamtuma kitima maana yeye ndiye mtendaji mkuu. TEC sio waropokaji kama labda kama akina ally kamwe na Ahmed Allykitima avuliwe upadr
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Mm mkatolikiKitu haujui na kwa vile wewe sio mkatoliki, Kitima anaongea kwa niaba ya TEC yaan tec wanambwambia cha kuongea hata kama akija mwingine inakuwa vile vile TEC hawawezi kutoka wote waongee wanamtuma kitima maana yeye ndiye mtendaji mkuu. TEC sio waropokaji kama labda kama akina ally kamwe na Ahmed Ally
Ataendelea kuitwa Fr.Kitima mpaka pale atakapotiwa hatiani. Unaitwaje mfungwa bila kutiwa hatiani kwa kosa ulilokifanya??Kwasasa asiitwe fr aitwe Jina lake mpaka papa atakapoamua juu ya upadri wake