Cogito ergo_sum
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,648
- 2,930
Aisee.TEC , inakosa wasomi , Elimu na degree za theology bado ni ELIMU ndogo Sana
Kuwahudumia watz katika nini ?Nadhani either iwepo taasisi inayoweza kuwahudumia watza na kuwaunganisha watz wote na sio TEC.
Yani kwa ufupi Wana wakilisha agenda zao na maoni yao na sio ya waumini wao.Aisee.
Kwahyo mkuu maaskofu na mapadre wana elimu ya theology tu?
Kuwahudumia watz katika nini ?
Na kuwaangunisha katika nini?
TEC wanaongea na kutoa maoni yao kama baraza la maaskofu tz na sio kama wawakilishi wa watanzania.
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Maaskofu wa miaka hii ya karibuni wanawakwaza baadhi ya waumini, wanapoingiza siasa kwenye masuala ambayo hawayajui vizuri wanaishia kutengeneza makundi kati ya waumini.Yani kwa ufupi Wana wakilisha agenda zao na maoni yao na sio ya waumini wao.
Mkuu mbona unawashwa sana?Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Wanashusha sana hadhi ya upadri Na uaskofuMaaskofu wa miaka hii ya karibuni wanawakwaza baadhi ya waumini, wanapoingiza siasa kwenye masuala ambayo hawayajui vizuri wanaishia kutengeneza makundi kati ya waumini.
Suala la DP World Father Kitima aliangukia pua kwa kusambaza barua ikasomwa makanisani, Hakujua kwamba DP World wanalo lengo la kufanya biashara jijini Dar peke yake. Kitendo cha makampuni mengine kuomba tenda za kusimamia bandari nyinginezo tayari ikawa aibu kwa ile barua ya Father Kitima iliyosambazwa makanisani kwa ushabiki mkubwa.
Tuwaache TEC na masuala yaoTumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Nimecheka sana!TEC , inakosa wasomi , Elimu na degree za theology bado ni ELIMU ndogo Sana
Nadhani either iwepo taasisi inayoweza kuwahudumia watza na kuwaunganisha watz wote na sio TEC.
Ila.sheikh Bakonzi na like.sheikh shoga la umoja wa wahadhiri wa Kiislamu wanapandisha hadhi ya uislamu kwa Yale matamko yao ya kukata watu vichwa!Wanashusha sana hadhi ya upadri Na uaskofu
Sawa nimekuelewaLazima wasemwe pale wanapokengeuka