DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Yule mdada aliyafukua makaburi yako yote, na aliweka na ushahidi wa namba yako ya simu, na ID's zote ulizotumia! Halafu unasema ni uongo!
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
We unayo?ngese weweSasa kaka PhD ya divinity nayo ni PhD?
Huyo hana akili hata ile ndogo kabisa ya kumbukumbu. Damu walizozimwaga, zimewaandolea akili, wamebakia na uwendawazimu usioeleweka. Kuna siku atakuja kuandika, 'tulipokuwa tunaua watu'. Damu za watu zinawafanya waendelee kujianika wazi. Kimbesa11, Big Show, Lucha, Gentamycin, Tlaatlah, hao wote ni kundi la wauaji, wana damu za watanganyika mikononi mwao.Hapo umeandika Mkatoliki Mwenzetu alafu kwenye thread zingine comments zako unajionesha sio Mkatoliki.
Acha kutumika kama TOILET PAPER!
View attachment 3521259
Ifutwe TEC ibaki taasisi ya kisomi Bar-kwata, unaonaje ustadh?!.TEC , inakosa wasomi , Elimu na degree za theology bado ni ELIMU ndogo Sana
Nadhani either iwepo taasisi inayoweza kuwahudumia watza na kuwaunganisha watz wote na sio TEC.
PhD za kununua na zile za kupewa kwa heshima, zote ni takataka tu.Ndyo nna PhD au nkutumie abstract uisome kidogo
Naona mnamaumivu makubwa sana, barua kwa Papa inawatesaMkuu ebu kuweni na aibu hata kidogo jamani
Stanslaus Nyakunga pamoja na Elia Phaustine sio waumini wa Kanisa Katoliki. Acheni kusambaza taarifa zisizo sahihi. Kama ni waumini, je wanatokea Jumuiya ya Mtakatifu nani? Wanasali Parokia ipi na Jimbo lipi?
Hawa sio wakatoliki bhana
Kumbe kuuliza maswali ya msingi ni maumivu?! Basi utimamu wako una shaka sana mkuu! Fuatili barua ambazo zimefanyiwa kazi na Papal Nuncio dunia nzima zina nini ndani yake? Achana na hawa kina Stanslaus na mwenzakeNaona mnamaumivu makubwa sana, barua kwa Papa inawatesa
BAKWATA NI CHOMBO KISICHO SIMAMIA MASLAHI YA WAISLAMU WOTETumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi watz hvyo basi TEC IVUNJWE
Tunaomba TEC Ivunjwe na kitima avuliwe upadri kwa kukiuka miiko na Sheria za kanisa.
Ile barua imechafua kofia ya uaskofu, naona maaskofu nchi nzima wanamwaga povuKumbe kuuliza maswali ya msingi ni maumivu?! Basi utimamu wako una shaka sana mkuu! Fuatili barua ambazo zimefanyiwa kazi na Papal Nuncio dunia nzima zina nini ndani yake? Achana na hawa kina Stanslaus na mwenzake
Haujajibu swali mkuu!Ile barua imechafua kofia ya uaskofu, naona maaskofu nchi nzima wanamwaga povu
Mkuu Hilo swali halina tija kwasababu mm mwenyewe ni mkatoliki lakini kwasasa nasali kwa mwamposaHaujajibu swali mkuu!
Je kuhoji kuwa wanatokea parokia gani pamoja na jumuiya zako nimekosea!? Je unadhani Vatican wanapokea barua tu kisa imetoka kwa muumini bila kujua kama ni muumini mkatoliki ama?!
Jibu kwanza hapa halafu tuendelee
Kafanye research ndogo hata kwa kutumia grok au ChatGPT uliza mpaka barua ifike kwa Papal Nuncio na kufanyiwa kazi kuna vigezo gani? Ndio utajua kwanini watu wanasema hawa sio wakatolikiMkuu Hilo swali halina tija kwasababu mm mwenyewe ni mkatoliki lakini kwasasa nasali kwa mwamposa
Halafu kama umeshatoka kwenye Ukatoliki kwanini unarukia quotes za wakatoliki? Huyu Bishop Eusebio Samwel kawaulize wakatoliki wa Nyanda za Juu Kusini watakwambia kazi yakeIle barua imechafua kofia ya uaskofu, naona maaskofu nchi nzima wanamwaga povu