Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Kwani chadema ishika madaraka itaendesha serikali bila kutoza kodi?Imeripotiwa kuwa ngoma za vigodoro, jando na unyago sasa zitaanza kutozwa kodi ya shilingi 50,000. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Temeke Lusubilo Mwakabibi amesema tozo hiyo ni lazima na atakayekaidi kufanya shughuli bila kibali atalipa faini ya shilingi 200,000
Baada ya kufanikisha wizi wa kura Kakonko , haya ndio mapya aliyokuja nayo mjiniImeripotiwa kuwa ngoma za vigodoro, jando na unyago sasa zitaanza kutozwa kodi ya shilingi 50,000. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Temeke Lusubilo Mwakabibi amesema tozo hiyo ni lazima na atakayekaidi kufanya shughuli bila kibali atalipa faini ya shilingi 200,000
This is hogwash to say the least......Amefafanua kwamba katika "shughuli" yoyote watakaotakiwa kulipa kodi ni ma-MCs 50,000/= DJ 30,000/=, mpishi 50,000/=, ukumbi 50,000/= nk. Malipo haya haijalishi ukubwa wa shughuli hata kama ni birthday ya mtoto wa mwaka mmoja.
Kwa yeyoteWakuu mimi sijaelewa, hiyo kodi ni Wapinzani tu au hadi sisi tuliomtukana Lissu kipindi cha kampeni?!