Tendo la ndoa ni dawa. Kukaa muda mrefu bila kufanya sex kunaharibu afya ya akili.

Kwa kweli ni dawa,
Ukiona tu lile tako kuna namna ubongo unarelax, the kissing hasa deep kiss inafanya mwili "ufanywe upya"🤣🤣

For men ukifika hitimisho na kushusha waajemi unakuwa umetoa mzigo mzigo wa msongo, mawazo, shida zako..sasa sijui unakuwa umemtupia mwenzako au niaje🤣
 
Ahahah..baada ya muda yanarud pale pale 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…