Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hapa soon nitaharibikiwa?
Kabisaaa..liko kwa muongozo wa katiba ya chama, inaelekeza hiloHahaha, tendo la kikatiba
Weee kumbe!?Na ukimkojoza tu, umemuharibia siku kabisaa
tendo la kujigeuzia makali.Hivi chaputa nao huwa linakuwa tendo la ndoa? au ni tendo la nini?
wale walikuwa prodigies, sio watu wa kawaida.Sidhani, kina Newton na Tesla sidhani hata nyapu waliwahi kuishuhudia katika maisha yao yote waliishi duniani, lakini walikuwa ni moto wa kuotea mbali kwenye hesabu na fizikia.
Kama umezaliwa una akili we una akili tu, ni genius hata usiposhiriki ngono na yeyote, kama umealiwa ni kiazi kitamu we ni kiazi kiazi tu hata ushiriki ngono na mabikra 70 wamekuzunguka, kama afya yako ya akili haipo sawa ni vyema kumuona daktari maana ngono haitokusaidia chochote zaidi ya kuzidi kuwa kichaa.
Hizi tafiti sijui nani huwa anaandika na sielewi wanatumia vigezo vipi na wanafanya majaribio gani kuhalalisha wasemayo...
Ndugu zangu tusiokote kila tunachoambiwa na hao wanajiita watafiti...
Haya mambo ni agenda tu za watu, soma hata kwenye biblia kuna ile njemba sijui nani yule alienda kuchumbia kwa Labani, anhaa nimekumbuka ni Yakobo, jamaa alichunga na kufanya kazi za shamba miaka saba ili ampate Raheli, alipomaliza miaka saba akaambiwa kwa tamaduni zao mdogo hawezi akaanza kuolewa kabla ya mkubwa, jamaa akarudi tena akala miaka saba mingine, jumla hapo 14...Watu watakupinga lakini una hoja,
Kizazi Z kinasumbuliwa sana na matatizo ya msongo wa mawazo pamoja na sonona, ukosefu wa ngono/mahusiano ukiwa ni moja ya sababu kubwa.
Tafiti zinaonesha masuala kama mitandao ya jamii na ponografia yanafifisha uwezo wa kizazi Z kutafuta na kushiriki kikamilifu kwenye ngono.
Kizazi Z kinaishi kwenye ubikra muda mrefu kuliko vizazi vilivyotangulia.
Haya yote yanachochea upweke mkali sana.
Mike Tyson alishakaa miaka mi 5 akipiga mazoezi bila kufanya ngono na mwanamke, still alikuwa mpiganaji bora zaidi...wale walikuwa prodigies, sio watu wa kawaida.
iga ufe.
wala sijatania,Haya mambo ni agenda tu za watu, soma hata kwenye biblia kuna ile njemba sijui nani yule alienda kuchumbia kwa Labani, anhaa nimekumbuka ni Yakobo, jamaa alichunga na kufanya kazi za shamba miaka saba ili ampate Raheli, alipomaliza miaka saba akaambiwa kwa tamaduni zao mdogo hawezi akaanza kulewa kabla ya mkubwa, jamaa akarudi tena akala miaka saba mingine, jumla hapo 14...
Haya mambo sijui msongo wa mawazo na vitu gani ni kujiendekeza tu.. mtu anasotea nyapu miaka 14 usifanye mchezo mkuu, na jamaa nadhai alipoikamata nadhani alikuwa ananyesha hadi anapiga na miluzi... 🤣 🤣
sasa hapo si aliamua kivyake, kwa imani zakeMike Tyson alishakaa miaka mi 5 akipiga mazoezi bila kufanya ngono na mwanamke, still alikuwa mpiganaji bora zaidi...
Haya mambo mnajiendekeza tu, kutumia kichaka cha afya akili kuhalalisha uzinzi..
Ni tendo la kujitoa akili..Hivi chaputa nao huwa linakuwa tendo la ndoa? au ni tendo la nini?
While sex can have positive impacts on mental health by releasing feel-good hormones like oxytocin and endorphins, claiming it is a "panacea" to psychological health is oversimplification and not entirely accurate🙂
Tendo la mkonoHivi chaputa nao huwa linakuwa tendo la ndoa? au ni tendo la nini?