Tendo la ndoa ni dawa. Kukaa muda mrefu bila kufanya sex kunaharibu afya ya akili.

Tendo la ndoa ni dawa. Kukaa muda mrefu bila kufanya sex kunaharibu afya ya akili.

sijasema kwamba usipofanya ngono utaumwa, au utakufa, hapana.

ila ngono ina faida zake za kiakili, ni tulizo kisaikolojia.

hao wasiofanya ngono kwasababu maalum kama dini na mengineyo, watapata tulizo kupitia misingi ya hizo imani zao

pia kuna watu ambao ni walemavu sana kihisia, wana maisha yakustaajabisha.

kwa mtu wa kawaida, kesi ni tofauti.

na sipo tayari kukubali kwamba ngono ni kwa ajili ya kuzalisha tu, ili watu waifanye, mageuzi yalitengeneza mfumo ili ngono iwe na faida nyingi nje ya kuzalisha, lengo likiwa ifanyike "spontaneously" bila shurti, binadamu/mnyama asitoweke.

sichochei umalaya/uzinzi,

hizo tabia zitaidhuru akili kwasababu zitaleta migogoro, kusengenywa nk. ngono ifanyike kwenye mahusiano sahihi.

sasa kisa pope katetea ushoga na unaona hayuko sawa, ndo mimi nikitetea ngono salama sitokuwa? mzee baba hii ni moral equivalence fallacy...
Mkuu na wewe ulikuwa unaleta appeal to authority fallacy, ndio maana nikasem hivyo..
 
dah! Nimemiss lip kiss ya ex wangu,kuna wanawake wameumbwa wakaumbika.
 
Back
Top Bottom