Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaujua uzinzi au unautaja tu?Mike Tyson alishakaa miaka mi 5 akipiga mazoezi bila kufanya ngono na mwanamke, still alikuwa mpiganaji bora zaidi...
Haya mambo mnajiendekeza tu, kutumia kichaka cha afya akili kuhalalisha uzinzi..
Mizagamuano express hiv n safari ya kutoka wap kwenda wapi maan nmesahau kituo
sheria mkononiHivi chaputa nao huwa linakuwa tendo la ndoa? au ni tendo la nini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eh!!Hivi chaputa nao huwa linakuwa tendo la ndoa? au ni tendo la nini?
Hata wanaoamka kutetea haki za mashoga na wasagaji kuanzia makampuni , taasisi, serikali n.k nao ukiwasikiliza wana hoja zao kuhalalisha kile wanachotaka kiwe halali, tena watakuja na hoja za kisayansi na kidini, ndipo hapo unaona kina pope wanahalalisha ushoga makanisani, lakini je kiuhalisia wapo sahihi?wala sijatania,
kwenye sociology ubikra wa muda mrefu haswa kwa wanaume ni tatizo
ngono kwenye mahusiano sahihi ni hitaji la msingi la binadamu
wanaume wakikosa ngono kuna mawili; wanakuwa wavivu, au wanakuwa radicalized(wakali) kupitiliza
unafahamu kwamba magaidi wanaingiza wanaume kwenye vikundi vyao kwa kuwaahidi wake?
Pia wauzaji wengi siyo wote,wanaupwiru sana.Si kweli, maana kwa mtindo huo basi wauza nyapu wangekuwa washavumbua mpaka rocket.
Ngono sio hitaji la msingi,bali ni hitaji la muhimu.wala sijatania,
kwenye sociology ubikra wa muda mrefu haswa kwa wanaume ni tatizo
ngono kwenye mahusiano sahihi ni hitaji la msingi la binadamu
wanaume wakikosa ngono kuna mawili; wanakuwa wavivu, au wanakuwa radicalized(wakali) kupitiliza
unafahamu kwamba magaidi wanaingiza wanaume kwenye vikundi vyao kwa kuwaahidi wake?
Well saidSi kweli, maana kwa mtindo huo basi wauza nyapu wangekuwa washavumbua mpaka rocket.
sijasema kwamba usipofanya ngono utaumwa, au utakufa, hapana.Hata wanaoamka kutetea haki za mashoga na wasagaji kuanzia makampuni , taasisi, serikali n.k nao ukiwasikiliza wana hoja zao kuhalalisha kile wanachotaka kiwe halali, tena watakuja na hoja za kisayansi na kidini, ndipo hapo unaona kina pope wanahalalisha ushoga makanisani, lakini je kiuhalisia wapo sahihi?
Ubikra wa muda mrefu kwa mwanaume hauna tatizo lolote kiafya ndio maana nimesema kina Tesla na Newton mbona walifanya ambayo hao wala mbususu walishindwa?
Hio wanaume kukosa ngono na kuwa wavivu, sidhani, Shaolin Monks wakiwa temple huwa hawaruhusiwi ngono, na wanakaa miaka mingi, wanachapa kazi kuliko hata wewe unayenyandua mara 30 kwa mwezi... ila huwa wanaruhusiwa kuoa wakitoka temple, kuna wengine maisha yao yote wanaishi kwenye temple, wana afya njema sana, wanaishi miaka mingi, wanafanya kazi sana.
Mi wanaoingia kwenye ugaidi kwa kuahidiwa wake sishangai, ni mbinu za ki intel, hata recruiting agency kama CIA huwa wana hiko kitu, wanaangalia unataka kitu gani hasa katika maisha yako, inakuwa rahisi kwao kuku motivate ukubaliane na kile wanachotaka wao, kama ni pesa watakupa, kama uraia utapewa, kikubwa wanafanya taifiti kwa kina matamanio yako hasa ni nini? wakifahamu lazima wakuchukue...