Tendo la ndoa ni dawa. Kukaa muda mrefu bila kufanya sex kunaharibu afya ya akili.

Unawaambia nini makasisi na maaskofu wa kanisa takatifu katoliki?
 
Yes ndio maana ukitua mzigo inabidi umkumbatie, umpe pole au asante, na umpige kiss kwenye komwe.
 
Dr Boaz ni Mganga njaa tu ,hana anachokijua , ukiweka mind yako kuwaza ngono muda wote ndiyo utasumbuka lakini ukiwa na issue za kufanya zinazokukeep busy hautopata athari ya aina yeyote ,mwili una self-healing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…