Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

kesho utaskia mamlaka zenye wasomi wa maphd ya hali ya hewa wakielezea kiutalaam kwamba ni kawaida kutokea blah blah.. taifa linashindwa hata kuwa na vifaa accurate kujua vitu kama hivi in advance na bado tunasema tupo uchumi wa kati..
Uchumi wa Kati una uhusiano gani na mambo ya tetemeko. Nonsense kabisa!
 
Umepona..?
 
Mkuu ninashukuru kwa hii Taarifa kwani nilikuwa zangu Chumbani Jimbo la Halima Mdee nikaona 'natetema' na kuhisi labda 'ninaugua' huu Moyo.
 
Dah nilikuwa ndani nikahisi ni mimi tu nikatoka mbio kwenda nje nikawauliza wenzangu nao wamehisi kutikiswa.
Kuna mjinga mmoja akasema “Baba wa Taifa anajigeuza!... “ Daaamn [emoji28][emoji28][emoji28]
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo legend mpe soda nitakuja kumlipia
 
Aisee hili tetemeko leo linanipa zari, kila anayetaja location ya huku kwangu zamani PM jinsia pendwa halafu kwa hofu na kutiana moyo leo wanafunguka
 
hata mm imeikuta nikadhani labda napata kizunguzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…