Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Uchumi wa Kati una uhusiano gani na mambo ya tetemeko. Nonsense kabisa!kesho utaskia mamlaka zenye wasomi wa maphd ya hali ya hewa wakielezea kiutalaam kwamba ni kawaida kutokea blah blah.. taifa linashindwa hata kuwa na vifaa accurate kujua vitu kama hivi in advance na bado tunasema tupo uchumi wa kati..