Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Aiseee poleni sana ndugu zangu, nawaombea amani ya moyo....
 
Upepo, kimbunga, mafuriko, tetemeko, ukame, volcano n.k. yapo ni suala la muda tu.....kama Jesus vile, hatujui siku wala saa.

Ule Mlima Kilimanjaro pale haujajengwa, ni matokeo ya kimaumbile...kama ilitokea wakati huo bas itatokea tena wakati mwingine.

Hivyo tutulie, na tushukuru kwa kila jambo.
 
Kuna tetemoko la ardhi limepita huko maeneo ya kitunda kama kuna mtu amelisikia tu naomba mamlaka ya Hali ya hewa kutoa tamko
Mamlaka za hali ya Hewa haziwezi kuzuia tetemeko mkuu kwa kutoa tamko.
 
Hili ni Lazima liko kwenye ilani ya Chama cha mapinduzi
 
Ni vishindo vya Tundu Lissu, angalieni hapo chini jinsi Lissu anavyotetemesha nchi.
Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC)
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro
Tetemeko la ardhi Dar es salaam
Mpaka kwetu hapa kurasini pia.
Limepita Mabibo huku
Sio ubungo hadi tegeta limepiga.
Muda huu saa 20:16

Tetemeko la ardhi limepita Hapa mkoani morogoro "
Adi Mabibo
Sinza imepita
Nimeogopa hadi sasa nahisi kutetemeka
Mpaka huku Bunju limepita...!!
Mpk mbagala mkuu daaah
Ngoma imepiga Dar
Hadi huku morogoro
Hadi kigamboni limepita
Hii inamaanisha nini?
Niko lindi wilaya ya nachingwea limepita
Hapa magomeni pia limepita
 
Limenipitia hapa Kinondoni aiseee!
Fasta nikatoka nje sehemu ya wazi kusubiri hatma. Cjawahi kushuhudia ila leo nimeshuhudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…