Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Aiseee poleni sana ndugu zangu, nawaombea amani ya moyo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikubebe lisikudhuru....Nimeogopa hadi sasa nahisi kutetemeka
Mamlaka za hali ya Hewa haziwezi kuzuia tetemeko mkuu kwa kutoa tamko.Kuna tetemoko la ardhi limepita huko maeneo ya kitunda kama kuna mtu amelisikia tu naomba mamlaka ya Hali ya hewa kutoa tamko
Ukiwa na gari uwe unawapa liftleo ni kama zali yaani ! kila mtu anataja anakokaa, mpaka sasa nimeshapata watu wa tatu tunakaa eneo moja!
ile jinsia pendwa bado kuona hawa wakina sisi hatakama ningekua na gari wai!!Ukiwa na gari uwe unawapa lift
Tumeahidi TUNATEKELEZAWataalamu wanasema eti Ni dalili kuwa ccm inaachia ngazi Oktoba 2020.
Hii hatari.epicenter ni bahari ya hindi juu kidogo ya Mafia
Strong mag. 6.0 earthquake - Tanzania on Wednesday, 12 August 2020 - information :
wewe chama ganiKuna tetemoko la ardhi limepita huko maeneo ya kitunda kama kuna mtu amelisikia tu naomba mamlaka ya Hali ya hewa kutoa tamko
Tulishasema hapa idadi ya wabunge sio upinzani. Upinzani ni fikra. Ubunge na udiwani unaweza kuiba kura hata kulazimisha. Kitu ambacho huwezi kulazimisha ni upendo. Kama mtu anampenda mtu mwingine huwezi kualazimisha akupende wewe au kwasababu umemfanyia kitu fulani ni lazima akupende leo. Upinzani bado sio majority ya Watanzania lakini kuna watu kama 40%-45% ya Watanzania na zaidi ya hao kwenye miji mikubwa. Pamoja na kubanwa vyombo vya habari tunaona Zanzibar na Bara kwamba si kweli inawezekana hata upinzania ukawa na nguvu kuliko hata 2015. Kubana watu hakuzuii tena inawezekana kumeongeza umashauri maana wapinzani sasa wanaonekana kama mashujaa badala ya kuonekana wanasiasa wa kawaida.
CCM msikubali tena kuzuiwa kwa mikutano haisaidii na itakuwa ngumu hapo Magu akiondoka. 2025 upinzani utakuwa na nguvu kuliko sasa. Vilevile jibuni hoja badala ya kutukana na kutisha kuna mengi ya kujivunia kwa Magufuli. Lakini msiweke fikra kwamba Magufuli hana kasoro au wengine hawapedwi
Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC)
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro
Tetemeko la ardhi Dar es salaam
Mpaka kwetu hapa kurasini pia.
Limepita Mabibo huku
Sio ubungo hadi tegeta limepiga.
Muda huu saa 20:16
Tetemeko la ardhi limepita Hapa mkoani morogoro "
Adi Mabibo
Sinza imepita
Nimeogopa hadi sasa nahisi kutetemeka
Mpaka huku Bunju limepita...!!
Mpk mbagala mkuu daaah
Ngoma imepiga Dar
Hadi huku morogoro
Hadi kigamboni limepita
Hii inamaanisha nini?
Niko lindi wilaya ya nachingwea limepita
Hapa magomeni pia limepita