Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

Maneno ya kijinga ya kujifaraji tu
 
⛔️The Confirmation ⛔️⛔️

🚨BREAKING: NETANYAHU MISSING AT ISRAELI SECURITY BRIEFING FOR THE FIRST TIME⚠️‼️
💥Israel's Defense Minister Israel Katz Led Today's Security Briefing- Bibi Was Noticeably Absent‼️
💥Rumors have been swirling that Netanyahu was killed in a March 9th strike.
 

Attachments

  • 20260314_212452.jpg
    57.7 KB · Views: 13
Kiintellejensia hiyo taarifa haiwezi kuwa na ukweli wowote.

Huwezi mpiga kiongozi mkubwa wa nchi kama Israel au Marekani kwa kurusha rusha makombora hovyo.

Lazima uwe ma target, muda sahihi na silaha inayoweza kufanya kazi hiyo kwa weledi.
Unaweza kurusha mabomu hovyo na ukaua kiongozi mkubwa bila hata target. Ni probability hiyo, game of chance, kwamba itokee tu wakati bomu linatua sehemu A na kiongozi awepo sehemu A.

Hujawahi sikia baa pametokea ugomvi zikarushwa chupa akalengwa mtu ambaye hakuwa target just sababu alikuwa kwenye njia ya chupa iliporushwa?
 
Kwamba ni wajinga kama viongozi wa Iran?

Iran hata kuua balozi wa nyumba kumi wa Tel Aviv haiwezi
Bomu hata kama limerushwa hovyo kama limefika haliachi kulipuka sababu kuna kiongozi ambaye warushaji bomu hawakujua kama yupo hapo, litalipuka tu na kuua. Ndo maana nikakuambia inawezekana akafa as long as yupo ndani ya Israeli na mabomu yanafika Israeli. Ni itokee tu bomu litue sehemu ambapo na yeye kumbe yupo.
 
Hata kama ameuwawa hajafa kizembe kama Ayatollah Khomeini

Yaani makelele yote Yale
Unaliwa kichwa dk ya kwanza tu

Ni aibu sana
Hata kama ameuwawa hajafa kizembe kama Ayatollah Khomeini

Yaani makelele yote Yale
Unaliwa kichwa dk ya kwanza tu

Ni aibu sana
Shambulio la kuvizia halina ujanja.mtu yeyote anaweza kudhurika.kikubwa utawala wa khomenei bado unaendelea .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…