kipanta the boss
Member
- Dec 15, 2013
- 57
- 85
Mmh, yasije kuwa ya mzizeKaizer chiefs wametuma offer ya Tsh 1 billions kumhitaki Ibrahim Bacca
Coach Nabi na Kaze wanahitaji huduma ya kitasa kutoka Yanga
Uongozi wa Yanga wapo wanajadili offer hii na wamesema watatoa jibu siku sio nyingi
Kibu ameenda timu gani kujaribu bahati yake?Winga anakuwa kibu, ambaye ameenda kujaribu south akisaidiana na Ohua na Barua.
Upande wa kulia mpanzu na Chasambi....
Ngoma sio namba 6 ni namba 8 wanamlazimisha tu kucheza namba 6. Shida kuu ya simba ni namba 10 ambaye anaweza kuichezesha timu.Simba Haina kiungo Mkabaji mwenye Uwezo Mkubwa.
Ngoma.
Debora
Okejepha.
Hawa ni wachezaji wa Kawaida sana labda watafute 6 wa kusaidiana na Kagoma
Debora ni 8 box to box mzuri sema wanampa majukumu ya kukaba sana kuliko kuchezesha timu.
Akiniheshimu wifi yako inatosha.We nishakudharau
Ngoja niku ignoreAkiniheshimu wifi yako inatosha.
Ngoma sio namba 6 ni namba 8 wanamlazimisha tu kucheza namba 6. Shida kuu ya simba ni namba 10 ambaye anaweza kuichezesha timu.
Kibu ameenda timu gani kujaribu bahati yake?
Hapo South Afrika pia kunahitaji majaribio kwa mtu aliyeyokea timu nammba 6 kwa ubora Afrika?Amekwenda south Africa
Timu haitawekwa wazi kwa sasa hadi majaribio yakipita.
Inashangaza kama sio kustaajabisha yaani kibu akafanye majaribio kaizer au orlando timu ambazo simba kazizidi kwenye msimamo wa caf na hata ushiriki wa cacl na cacc? ulaya tu ndo wachezaji wanafanyaga majaribio hata miquison hakufanya majaribio al ahlyHapo South Afrika pia kunahitaji majaribio kwa mtu aliyeyokea timu nammba 6 kwa ubora Afrika?
Kibu yupo zake marekani, hizi habari wambea kina jemedari, wazikose wakati ndio zinazowapa umaarufu zaidAmekwenda south Africa
Timu haitawekwa wazi kwa sasa hadi majaribio yakipita.
Kucheza yanga inaitaj moyo mana utanyimwa rizki zako hivi hivi..wamuachie akatafute changamoto nyingineClement Mzize anatakiwa na Wydad na Al Ittihad ya Libya
HapanaTETESI :
NASIKIA KUNA UWEZEKANO MKUBWA WA SIMBA KUTOSAJILI MCHEZAJI YOYOTE ZAIDI YA MPANZU DIRISHA HILI DOGO.
Shukrani kwa hilo mtaalamHapana
PamojaShukrani kwa hilo mtaalam