msuva bado hataki kucheza Tanzania. Sankara dirisha dogo hawezi kuja, kuna dili analisikilizia lisipotiki labda dirisha kubwaHuyo Karamoko akija Yanga, atatusaidia sana. Kuhusu Msuva, sina wasiwasi naye. Bado ana uwezo wa kuisaidia Yanga kwenye mechi za ndani, na pia zile za Kimataifa.
AnajuaJonathan alukwu,huyo jamaa ni moto wa kuotea mbali
Ni Mcolombia anacheza PeruSimba wanamtaka winga Raia wa Peru
huyuu jamaa mbona naskia hizi tetesi sio za kwelii.Sankara Karamoko - yanga
Si tumefungiwq kusajiliSimba imesajili mvuta bangi kutoka Zanzibar.
Saleh Tumbo.
Remember the name
Vipi mna mpango gani bwana Mangungu hapo msimbazi? Tupe ABC mkuuπ’ D O N E D E A L π’
Tumefikia makubaliano na klabu ya El Merreikh, ya kumsajili kipa wao wa kimataifa wa Sudan, Mohamed Mustafa, kwa mkopo wa miezi sita.
Welcome to Azam FC, @mohamdd6043! πͺπ»
#weareazamfc #timuborabidhaabora
[emoji3][emoji3]Simba imesajili mvuta bangi kutoka Zanzibar.
Saleh Tumbo.
Remember the name
Nani Mangungu?Vipi mna mpango gani bwana Mangungu hapo msimbazi? Tupe ABC mkuu
Vuta subira mwaka mpya unaanza kesho
Msuva ni flop!msuva bado hataki kucheza Tanzania. Sankara dirisha dogo hawezi kuja, kuna dili analisikilizia lisipotiki labda dirisha kubwa
Si wewe?πππππNani Mangungu?
Hapana. Mimi ni mkulima, niko kijijiniSi wewe?πππππ
Msuva aliyeflop akicheza kama centre foward anamzidi Baleke x4,Phiri x6 ,Musonda x8,Boko x10,Mzinze x16,Nkonkoni x24,akicheza kama winga sitaki kuandika mtachukia hakuna winga anayemfikia Msuva aliyechoka hata asilimia 7.Msuva ni flop!
Simba imesajili mvuta bangi kutoka Zanzibar.
Saleh Tumbo.
Remember the name
[emoji3][emoji3]