- Thread starter
- #61
msuva bado hataki kucheza Tanzania. Sankara dirisha dogo hawezi kuja, kuna dili analisikilizia lisipotiki labda dirisha kubwaHuyo Karamoko akija Yanga, atatusaidia sana. Kuhusu Msuva, sina wasiwasi naye. Bado ana uwezo wa kuisaidia Yanga kwenye mechi za ndani, na pia zile za Kimataifa.