Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

Huyo Karamoko akija Yanga, atatusaidia sana. Kuhusu Msuva, sina wasiwasi naye. Bado ana uwezo wa kuisaidia Yanga kwenye mechi za ndani, na pia zile za Kimataifa.
msuva bado hataki kucheza Tanzania. Sankara dirisha dogo hawezi kuja, kuna dili analisikilizia lisipotiki labda dirisha kubwa
 
🟢 D O N E D E A L 🟢

Tumefikia makubaliano na klabu ya El Merreikh, ya kumsajili kipa wao wa kimataifa wa Sudan, Mohamed Mustafa, kwa mkopo wa miezi sita.

Welcome to Azam FC, @mohamdd6043! 💪🏻

#weareazamfc #timuborabidhaabora
 
Simba imesajili mvuta bangi kutoka Zanzibar.

Saleh Tumbo.
Remember the name
 
Vipi mna mpango gani bwana Mangungu hapo msimbazi? Tupe ABC mkuu
 
Msuva ni flop!
Msuva aliyeflop akicheza kama centre foward anamzidi Baleke x4,Phiri x6 ,Musonda x8,Boko x10,Mzinze x16,Nkonkoni x24,akicheza kama winga sitaki kuandika mtachukia hakuna winga anayemfikia Msuva aliyechoka hata asilimia 7.
 
Simba imesajili mvuta bangi kutoka Zanzibar.

Saleh Tumbo.
Remember the name
[emoji3][emoji3]
1704116785001.png

Kiko wapi?
 
Back
Top Bottom