Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

W
Ila hapo hapo unaona kuchukua ubingwa mara 31 kwenye ligi yenye thamani Africa, haina umuhimu
We huoni hata Yanga ikishuka daraja au kuhama ligi bado ligi yetu haitashuka rank ya Africa,ubingwa wako mara 31 una faida gani kwenye rank ya Africa ?au kuchukua ubingwa ligi kuu mara 31 imekuzaje ligi kimataida?
 
Kwa muda unavyokwenda ukifika mwishoni wa mwezi huu, sio rahisi kupata mchezaji quality sokoni
 
Ukute hata mchezaji mwenyewe hamjui
simjui?!!, sawa tufanye simjui, wewe nitajie unayemjua ambaye anafika hata nusu ya quality ya Zimbwe interms of output yake uwanjani na Utimamu wa afya. brother like to like replacement ya Zimbwe jr haiwezi patikana Namungo inapatikana kwa pesa ndefu jambo ambalo wazee wa 10% wanalikwepa sana pale Simba
 

 
W

We huoni hata Yanga ikishuka daraja au kuhama ligi bado ligi yetu haitashuka rank ya Africa,ubingwa wako mara 31 una faida gani kwenye rank ya Africa ?au kuchukua ubingwa ligi kuu mara 31 imekuzaje ligi kimataida?
Rank yako ina umuhimu gani kama huwezi kuchukua ubingwa mbele ya mtu uliyemzidi? Rank yako ina umuhimu gani kama wewe na uliyemzidi wote mnaishia robo fainali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…