Kwa upande mwingine timu inayo haki ya kumuuza ama kutomuuza. Tatizo letu watanzania tunapenda kurahisisha mambo.Hata wakipandisha si mchezaji wao? na tena anafanya vizuri kwenye michuano ya CHAN dau linapanda. Sasa anyanyasike vipi, dili la dola laki saba na USD 1m lipi zuri lipi lenye maslahi mazuri? Mpira ni biashara na si huruma.
Kwaio mnatumia hio nafasi sababu ni mchezaji wenu kumnyanyasa...mbona mayele hamkumuuza kwa staili hii?? Eti lipi zuri, mnamyima mtoto wa watu asioondoke..Kuna huruma Gani hapo zaidi mmamzibia mtoto wa watu rizki yake..mnataka mjifaidishe nyie matumbo yenu makubwa makubwa , na ndio mana Sasa mchawi mkuu rais wenu anataka milioni 2 Dola...Hata wakipandisha si mchezaji wao? na tena anafanya vizuri kwenye michuano ya CHAN dau linapanda. Sasa anyanyasike vipi, dili la dola laki saba na USD 1m lipi zuri lipi lenye maslahi mazuri? Mpira ni biashara na si huruma.
Nani amenyanyaswa? Kwani halipwi mshahara? Sasa Mayele na Mzize wana umri sawa? Umri ni moja ya factor kudetermine bei na urefu wa contract ya mchezaji. Kazibiwa na nani? Kwani Yanga wamekataa kumuuza? Yanga hata wakitaka USD 10m,sawa sababu ni mchezaji wao.Kwaio mnatumia hio nafasi sababu ni mchezaji wenu kumnyanyasa...mbona mayele hamkumuuza kwa staili hii?? Eti lipi zuri, mnamyima mtoto wa watu asioondoke..Kuna huruma Gani hapo zaidi mmamzibia mtoto wa watu rizki yake..mnataka mjifaidishe nyie matumbo yenu makubwa makubwa , na ndio mana Sasa mchawi mkuu rais wenu anataka milioni 2 Dola...
Utajua mwenyewe boss ila kwenye list ya Giant of Africa Simba namba 5 hata kama hutaki.Hajawahi tokea Giant asie na trophy tusidanganyane hapa
Daah Zimbwe 28!?? Muogopeni Mungu aseee....Hili la Zimbwe nakuunga mkono 💯. Zaidi ya uzushi wa kuuza Mechi àmbao ni uongo wa mchana kweupe Hakuna sababu ya Msingi ya kumuacha Zimbwe akiwa na 28yrs.
Mshahara mbuzi..!Nani amenyanyaswa? Kwani halipwi mshahara? Sasa Mayele na Mzize wana umri sawa? Umri ni moja ya factor kudetermine bei na urefu wa contract ya mchezaji. Kazibiwa na nani? Kwani Yanga wamekataa kumuuza? Yanga hata wakitaka USD 10m,sawa sababu ni mchezaji wao.
Inawezekana haukumuona kabisa Mark Sirengo... Inawezekana miaka hiyo bado ulikuwa kwenye mbupu za dingi...Ushabiki wa mpira bhana,kwa kusikiliza redio tu ushamwona ni balaa
Si mpira wenu huu mnaochanganya na siasa,ushawahi kuona kiongozi wa siasa kwenye ligi kubwa duniani anaingilia maamuzi ya chama soka? ila kama ukiujua mpira hivi vitu vya kawada. Isak wa Newcastle anaforce kwenda Liverpool, ila Newcastle hawana haraka bali wanataka dau lao sio analotaka mchezaji na wakala wake? Ina maana Isak ananyanyasika, ila si shangai wabongo wengi wenu hata exposure ndogo ya kufutuatilia sajili za nje hamna.Mshahara mbuzi..!
Lazima tu hua nyie mambulula mnatafuta Chaka Cha kuhalalisha uchawi wenu, ndio mana sakata la fei, rais wa nchi aliingilia kati mana aliona kijana wa watu ananyanyasika...mnataka tena na hili aliingilie ..acheni wivu na roho mbaya... Ndiio mnakataa ..imekuja milioni 1, mnataka Sasa milioni 2 sababu kafunga goli chan...
#justiceformzinze
Makolo mnalazimisha sana mzize auzwe.Mshahara mbuzi..!
Lazima tu hua nyie mambulula mnatafuta Chaka Cha kuhalalisha uchawi wenu, ndio mana sakata la fei, rais wa nchi aliingilia kati mana aliona kijana wa watu ananyanyasika...mnataka tena na hili aliingilie ..acheni wivu na roho mbaya... Ndiio mnakataa ..imekuja milioni 1, mnataka Sasa milioni 2 sababu kafunga goli chan...
#justiceformzinze
Rankings hazijawahi kua kigezo cha u giant unless kama unataka tukeshe hapaUtajua mwenyewe boss ila kwenye list ya Giant of Africa Simba namba 5 hata kama hutaki.
Kama wewe ni mtu wa Mpira Simba na Walter Bwalya ilikuaje? au Simba na Manzoki nini kilitokeaUNAIJUA Tanzania unaisikia wewe...watanzania asilimia kubwa hatupendj kuona mtu ananyanyasika,kwani ya fei ilikuaje? Hadi rais akaingilia kati...unaelewa, rais wa nchi..timu ya kipumbavu kabisa, badala afanye shuhul za kichama eti anaamua kesi ya yanga na mchezaji,wakili nae mbovu, makesi huko fifa kibao, hio barua nshaiona, nyie mna tamaa na wivu mbaya sana ...mim mtu wa mpira, mzinze hio hela hata angeeondoka kwa Dola laki 8, hio 1m$ angeipata tu huko anakokwenda, mbona mayele aliondoka kwa Dola laki 5 na saivi unaijua thamani yake? Unajua analipwa mshahara shilingi ngapi ? Ambayo Tanzania nzima hakuna mchezaji analipwa hio hela, nimeambiwa kua eti mnafikiria kupandisha iwe Dola milioni 2 sababu ya magoli ya CHAN...yetu macho...muuzeni mtoto wa watu akatafute maisha kwa ajili yake na familia , mpira sio starehe ama eti mapenzi na klabu .. mpira kwa Sasa ni kazi ..MPIRA PESA...
#justiceformzinzeSi mpira wenu huu mnaochanganya na siasa,ushawahi kuona kiongozi wa siasa kwenye ligi kubwa duniani anaingilia maamuzi ya chama soka? ila kama ukiujua mpira hivi vitu vya kawada. Isak wa Newcastle anaforce kwenda Liverpool, ila Newcastle hawana haraka bali wanataka dau lao sio analotaka mchezaji na wakala wake? Ina maana Isak ananyanyasika, ila si shangai wabongo wengi wenu hata exposure ndogo ya kufutuatilia sajili za nje hamna.
Mshahara Mbuzi kwani hapo kwenye timu yenu ya Kolo FC ,nitajie wachezaji wa bongo local wanaolipwa 15m kwa mwezi? Hata huyo Shabalala mpaka anaondoka hakuwahi kufikia 15m,maana mpaka anaondoka kwa mujibu wa meneja wake bado anadai Signing fees ya mkataba wake uliopita, sasa ikiwa mchezaji mkongwe kama Shabalala anapata tabu vipi wengine.
Halafu hata kama hasinge funga goli CHAN, club ndiye yenye nafasi ya kuamua mchezaji auzwe au hasiuzwe sababu wanamkataba nae? Si bora Yanga flow nzima tunaijua kwamba walikuja Al Masry, wakaja wengine kutoka Qatar na sasa Esperance,sasa nyinyi Kolo FC meneja wa Kibu msimu uliopita, baada ya Kibu kutorokea Sweden kwa majaribio akadai,mmekataa offer nyingi na timu zingine zimemtaka kwa majaribio.Hata timu iliyo mtaka ya Sweden, walimtumia ujumbe Instagram na kumuonyesha barua walizo mwandikia kuja kwenu mkawa mnazikalia,hamumwambii mchezaji. Msimu uliopita Azam walimtaka Manula mkakataa na mkawa tayari, Manula akae benchi kisa kwamba mnadai aliuza mechi zile goli tano.
#justiceformzinzeKama wewe ni mtu wa Mpira Simba na Walter Bwalya ilikuaje? au Simba na Manzoki nini kilitokea
Una hoja usikilizwe, maana n kweli mzinze n mwiba sana pale ukoloni, nikifikilia ile mechi ya 5:1 jamaa alisumbua sana mabeki kule nyumaMakolo mnalazimisha sana mzize auzwe.
Kama hutumii akili unaweza kufikiri kwamba makolo mnampenda sana mzize kumbe mnajua uwezo wa mzize na jinsi anavyowafanya mkutanapo na Yanga.
Mnafosi aondoke hili mpate nafuu.
Kwa taarifa yenu hata mzize akiondoka tabu hiko pale pale.
OK, basi tuziite timu bora zinazotambulika Africa Simba ni namba 5, halafu giant wa Tanzania aliyejikusanyia makombe lukuki hayupo hata top 10. Hii imeekaa sawa, si ndio?Rankings hazijawahi kua kigezo cha u giant unless kama unataka tukeshe hapa
Ukitumia rank kama kigezo cha ubora moja kwa moja itamuondoa Pyramids ambaye ndio bingwa wa CAFCL msimu ulioisha. Je wewe unaona Pyramids sio timu bora?OK, basi tuziite timu bora zinazotambulika Africa Simba ni namba 5, halafu giant wa Tanzania aliyejikusanyia makombe lukuki hayupo hata top 10. Hii imeekaa sawa, si ndio?
Yeah sababu ni hiyo tu na sio kwamba wanampenda sana mzize.Una hoja usikilizwe, maana n kweli mzinze n mwiba sana pale ukoloni, nikifikilia ile mechi ya 5:1 jamaa alisumbua sana mabeki kule nyuma
Mimi ni nani niwabishie wenye maamuzi kuwa nani ni bora Africa kwa mwaka 2025? Kwani tatizo lipo wapi boss? Ni Simba kuwa hapo top 5 ndo kunasababisha Rank kisiwe kigezo cha ubora wa Club Africa?Ukitumia rank kama kigezo cha ubora moja kwa moja itamuondoa Pyramids ambaye ndio bingwa wa CAFCL msimu ulioisha. Je wewe unaona Pyramids sio timu bora?
Hii sio siasa#justiceformzinze