Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Hichilema unaonewa wivu na Husda hata na Uzi wako huu...aise umaskin mbaya sana 😂

Ngoja leo nikuige kidogo nionje ladha ya kutukanwa na kufatwa na mapanga kisa kusema Feisal anaenda Simba

Issa Fofana to Azam ...soon deal to be completed.
 
Babu na baragumu lake kaamka leo 😂 saa 10 adhuhuri...

Hichilema unaonewa wivu na Husda hata na Uzi wako huu...aise umaskin mbaya sana 😂

Ngoja leo nikuige kidogo nionje ladha ya kutukanwa na kufatwa na mapanga kisa kusema Feisal anaenda Simba

Issa Fofana to Azam ...soon deal to be completed.
Hii kazi ni ngumu asikwambie mtu.
 
Orodha ya wachezaji wa kimataifa waliopo ndani ya kikosi cha Simba kwa sasa

1. M. Camara 🇬🇳
2. N. Camara 🇬🇳
3. Mutale 🇿🇲
4. Kante 🇸🇳
5. Maema 🇿🇦
6. De Reuck 🇿🇦
7. Mukwala 🇺🇬
8. Sowah 🇬🇭
9. Ahoua 🇨🇮
10. Karabou 🇨🇮
11. Mpanzu 🇩🇿
12. Bajaber 🇰🇪
13. Ateba 🇨🇲
 
Hivi wanatakiwa kuwa wangapi?
 
Feisali Salum alishasaini miaka miwili Simba toka siku naandika hapa. Kilichopo hapa ni either Azam wamuachie au avunje mkataba au washindwane aondoke bure msimu ujao kwenda Simba . Atapewa jezi namba 6
Sawa sawa Fabrizo tutamuona Feisali na jezi namba 6 ya Simba, kama ulivyosema Conte ni mnyama 100%
 
Wapoteze mbumbumbu
Kama ulivosema kuwa FEI na Simba kila kitu kimekwisha
Kama umebisha hadi kwa naby camara basi nimeamini wewe kinachokufanya ubishie taarifa za usajili wa simba ni chuki zako tu binafsi na si kwamba eti una taarifa sahihi, inawezekana hata kwa fei ulibisha sababu ya chuki zako binafsi tu na si kwamba ulikuwa na taarifa sahihi kuwa hawezi kuenda simba, ila kwa vile kwa fei imetokea kama ulivyosema basi utaonekana kama ulikuwa na taarifa sahihi na utakariri kuwa kila usajili anaosema jamaa kuhusu simba ni uongo ila kwa huyo unaenda kuumbuka
 
Ahoua au Ateba wanauzwa...Mutale anatolewa mkopo
 
Huyo mgonjwa wa akili ni chuki tu..ndio mana nawatukana tu MAMMBWA hao.
 
Na wewe unakubaliana na Huyo muuza madafu kwamba wanaokukosoa ni sababu ya umasikini?
We **** ...muuza madafu baba yako. Wewe ungekua tajiri na una hela unakaa meza Moja na akina gsm, Seth, rugemalira , usingekua hapa na kupata muda unapiga soga kumuonea wivu mtu anayeleta tetesi tu za usajili...wewe ni kapuku tu...acheni chuki kwa Hichilema...huo ni ufukara pro max na uchawi....🖕
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/756633946756889
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…