Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Yan umewaza kama mimi tu mkuu.
huyu jamaa duh hata umtukane yeye atakuja kukujibu tofauti na ulivyotegemea. Anaonekana ana hekima flan hv
Mi napenda sana ningekua kama huyu jamaa yaani mtu anakujibu vibaya au amekutukana ww unamwelekeza kiustaarabu bila kumtukukana... Sometimes huwa najaribu kuwavumilia watu wanaonikera lakini uzalendo unanishinda najikuta nimewarudia na matusi.
 
As long as Jonathan Sowah yuko msimbazi mi sina haja hata na Fei maana sisi tulikua na striker muuaji wa makipa...
 
Simba kwenye umaliziaji ilikuwa tatizo.
Tunataka Striker muuaji design ya Sowah na tumempata... hatuna haja ya playmaker wala attacking midfielder, simba tunahitaji Striker gaidi na mwenye roho mbaya... Sehemu ambayo bado nina mashaka ni central back... Yule Hamza hamna kitu game ngumu anajivunja na kuzimia kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…