DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Seleman Mwalimu, Clement Mzize, Aziz Ki wote mapunguani tu, hakuna wachezaji hapo... Wangekua wazuri wangekua wanacheza ulaya... Mchezaji mzuri ahangaike kucheza Tanzania ulaya hajakuona.Hivi wewe uko timamu yaani unasema Azizi ki kaanza Wydad mechi 1?
We unadhani Kuna timu itamtoa mchezaji wa first 11 Kwa mkopo
Seleman hakuwa na nafasi wydad
Hahaha ila Mzize kuna kipindi tetesi zilimuhusisha anahitajika England.Seleman Mwalimu, Clement Mzize, Aziz Ki wote mapunguani tu, hakuna wachezaji hapo... Wangekua wazuri wangekua wanacheza ulaya... Mchezaji mzuri ahangaike kucheza Tanzania ulaya hajakuona.
Mkuu tusidanganyane angekua ni kama akina Vini Junior au Mbape we unadhani angecheza hapa, Madrid, Bayern, Inter, Man City, Psg hawawez wakamwacha mchezaji mzuri acheze Tanzania..Hahaha ila Mzize kuna kipindi tetesi zilimuhusisha anahitajika England.
Ni kweli. Huko kwa sasa bado.Mkuu tusidanganyane angekua ni kama akina Vini Junior au Mbape we unadhani angecheza hapa, Madrid, Bayern, Inter, Man City, Psg hawawez wakamwacha mchezaji mzuri acheze Tanzania..
Sasa kwani waliomtaka mzize ni simba, narudia wewe ndio hukuwa na taarifa za selemani mwalimu kuenda simba, yanga walishaweka bei ya mzize mapema na walikuwa tayari kumuuza es tunis ila wameghairi juzi tuSimba walivyojua mzinze hauzwi, wakamuomba huyo kwa mkopo
Wapi nimesema ameanza mechi moja au ndio umesoma kwa kukurupuka ilimradi tu uwahi kujibu, nimesema huwa haanzi mechi zote anaanza mara moja moja hivi unadhani hizo timu huwa unazifuatilia peke yako, aziz ki kutokutolewa siyo kwa sababu ni mchezaji wa first eleven bali hakuna timu kubwa iliyomtaka labda ninyi yanga ndio mlitaka arudi ila hakutakiwa kokoteHivi wewe uko timamu yaani unasema Azizi ki kaanza Wydad mechi 1?
We unadhani Kuna timu itamtoa mchezaji wa first 11 Kwa mkopo
Seleman hakuwa na nafasi wydad
Seleman mwalimu kaenda Simba, Mzinze kabaki Yanga.Sasa kwani waliomtaka mzize ni simba, narudia wewe ndio hukuwa na taarifa za selemani mwalimu kuenda simba, yanga walishaweka bei ya mzize mapema na walikuwa tayari kumuuza es tunis ila wameghairi juzi tu
😀Mkuu tusidanganyane angekua ni kama akina Vini Junior au Mbape we unadhani angecheza hapa, Madrid, Bayern, Inter, Man City, Psg hawawez wakamwacha mchezaji mzuri acheze Tanzania..
WasambazajiHichilema mkuu nani alivujisha jezi za Simba na kwa sababu ipi ama malengo yapi? Huko ndani ya Simba Kuna shida ..Kuna watu wa kupiga risasi pale ndani manyoko....nitatafuta jezi ya pre season hata kwa bunduki, siwez kununua hizo nyingine kabisa ..angalau hata angetoa huo mchoro wa Simba ingekua angalau...sjawah kuona aise duniani , unatoa jezi Kali ya preseason halafu unakuja kuvurunda ya ligi...
Mzee wa kula penshen...mtaalam wa pensheni za uzeeni...😀Ni rasmi sasa Chama atacheza Singida Black Stars
🤣Mzee wa kula penshen...mtaalam wa pensheni za uzeeni...😀
ile ya pre season iko poa sana, najiuliza zile katengeneza nan? na hizi katengeneza nani?Hichilema mkuu nani alivujisha jezi za Simba na kwa sababu ipi ama malengo yapi? Huko ndani ya Simba Kuna shida ..Kuna watu wa kupiga risasi pale ndani manyoko....nitatafuta jezi ya pre season hata kwa bunduki, siwez kununua hizo nyingine kabisa ..angalau hata angetoa huo mchoro wa Simba ingekua angalau...sjawah kuona aise duniani , unatoa jezi Kali ya preseason halafu unakuja kuvurunda ya ligi...
Acha tu mkuu..siwez tena kununua ..Sijawai kununua jezi ya Simba...kwa sababu hizi hizi...Ile ya preseason niliitafuta kama nilihisi tu kua za ligi zitakua famba...ila nikasema kweli mhaya atoe preason Kali halaf ligi iwe mbovu? Jana nilikua nakunywa bia mahali ikaisha yote kichwaniz
ile ya pre season iko poa sana, najiuliza zile katengeneza nan? na hizi katengeneza nani?
hizi za sasa tumepigwa, nlipanga ninunue lakini jana nimeshikwa na butwaa,,
kila kitu tunasuasua, usajili tunapigwa na jezi pia ambazo ningejivunia kuivaa lakini kiukweli acha zinipite.
pole sana mwanangu,
Bora ya Vunja bei alijitahidi, aliyefata SANDA akashusha ubora, huyu Ja Rutty amepelea kabisa, atakaye fata sijui itakuaje ,,Acha tu mkuu..siwez tena kununua ..Sijawai kununua jezi ya Simba...kwa sababu hizi hizi...Ile ya preseason niliitafuta kama nilihisi tu kua za ligi zitakua famba...ila nikasema kweli mhaya atoe preason Kali halaf ligi iwe mbovu? Jana nilikua nakunywa bia mahali ikaisha yote kichwani
Mbona ni nzuri tu, au sababu zilivuja? Leo nimeona mtu kavaa ile nyekundu, alipendeza tu. Ila ya Pre ilikuwa nzuri zaidi. Nadhani isingekuwa nzuri vile hii ingeonekana nzuri mno.Acha tu mkuu..siwez tena kununua ..Sijawai kununua jezi ya Simba...kwa sababu hizi hizi...Ile ya preseason niliitafuta kama nilihisi tu kua za ligi zitakua famba...ila nikasema kweli mhaya atoe preason Kali halaf ligi iwe mbovu? Jana nilikua nakunywa bia mahali ikaisha yote kichwani
Ile jezi ya pre-season ndio imesababisha hii jezi ya msimu ionekane mbayaHichilema mkuu nani alivujisha jezi za Simba na kwa sababu ipi ama malengo yapi? Huko ndani ya Simba Kuna shida ..Kuna watu wa kupiga risasi pale ndani manyoko....nitatafuta jezi ya pre season hata kwa bunduki, siwez kununua hizo nyingine kabisa ..angalau hata angetoa huo mchoro wa Simba ingekua angalau...sjawah kuona aise duniani , unatoa jezi Kali ya preseason halafu unakuja kuvurunda ya ligi...
pale inahitaji ushauri? Hapana hawa wawekezaji wetu wanataka faida kubwa,Ile jezi ya pre-season ndio imesababisha hii jezi ya msimu ionekane mbaya
Jamaa alikua na kibarua kigumu kutoa jezi itakayo ifunika ile ya pre-season kwasababu tayar watu waliipenda sana
Lkn pia nahisi alikosa washauri wazuri kibiashara, kiufupi ule uzi wa preseason unatakiwa uingie sokon jamaa apige hela maana hadi utopolo watanunua ule uzi
England ya KyerwaHahaha ila Mzize kuna kipindi tetesi zilimuhusisha anahitajika England.