Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Vedastus Masinde ni mnyama.
 
Mcchezaji huwa anatangazwa baada ya kusajiliwa . Usishangae hata aliyesaini mwaka huu akatangazwa mwakani

Upo sahihi, ila mimi nimeulizia tetesi namba 136 umesemea kuhusu Jayrutty kusajili mchezaji mkubwa kabla dirisha kufungwa. Sasa huyo anayetangazwa mwakani je anakuwa kasajiliwa dirisha hili au dirisha lijalo?
Kama hakuna mchezaji mkubwa aliyesajiliwa na Jayrutty dirisha hili sio dhambi kusema bado hajasajiliwa ila sio kuzunguka zunguka na habari za mwakani mwakati tunazungumzia dirisha hili.
 
Chief Hichilema tupe habari achana na wanywa supu hao..sahv wameambiwa hamna kuingia uwanjani mpk uwe na Jezi.. inaonekana Jezi zimedoda sana madukani huko[emoji41]
View attachment 3468055
Wale walioaminishwa na Micky na Hichilema kuhusu Feisali Salumu, endeleeni kusubiria embe chini ya mpera. Feisali kaongeza mkataba hadi 2027, mlipigishwa propaganda na wazee wa propaganda. Poleni
 
Hao Jayrutty wanaonekana ni wahuni tu. Kila msimu watasajili mchezaji mkubwa! Yuko wapi sasa huyo mchezaji mkubwa! Na kama ni Fei Toto, tulipinga humu tangu mwanzo, na bado tulipuuzwa.
 
X factor ni Feisal Salum (Fei toto). Nilipost hapa wenye akili nyingi wakanitukana. Siku niliposema Fei kasaini Simba ndo kweli alikuwa amesaini. Atakuja msimu ujao kama mchezaji huru
Ulijijengea sifa na uaminifu humu mkuu ila sijui ni kipi kimekukumbuka hadi kutoka kwenye kuwa mtu unayetoa taarifa sahihi na kuwa mueneza propaganda wa timu. Ishu ya Conte na Feisali imekuvua nguo
 
Hao Jayrutty wanaonekana ni wahuni tu. Kila msimu watasajili mchezaji mkubwa! Yuko wapi sasa huyo mchezaji mkubwa! Na kama ni Fei Toto, tulipinga humu tangu mwanzo, na bado tulipuuzwa.
Nakumbuka ila mwishoni nimewaza pengine Hichilema ni kiongozi ndani ya Simba hivyo kuna namna anafanya ili kutuliza mumkari ya mashabiki wa Simba kwa kuwaongopea
 
Nakumbuka ila mwishoni nimewaza pengine Hichilema ni kiongozi ndani ya Simba hivyo kuna namna anafanya ili kutuliza mumkari ya mashabiki wa Simba kwa kuwaongopea
Hichilema ndie Mzee Magoli
 
Ulijijengea sifa na uaminifu humu mkuu ila sijui ni kipi kimekukumbuka hadi kutoka kwenye kuwa mtu unayetoa taarifa sahihi na kuwa mueneza propaganda wa timu. Ishu ya Conte na Feisali imekuvua nguo
Huyo tunamdharau mno Kwa upumbavu wake na umbumbumbu
Sign on fee 800m
Mshahara 50m take
Ubalozi Azam pesa 200m
Release clause 5.7 kuvunja mkataba
Kumbuka FEI akiuzwa ndani ya nchi Yanga anavuta 1b akiuzwa nje ya nchi Yanga anavuta 25%
Nikiwambia FEI hatakuja kucheza umbumbumbuni nieleweni jamani
 
Wale walioaminishwa na Micky na Hichilema kuhusu Feisali Salumu, endeleeni kusubiria embe chini ya mpera. Feisali kaongeza mkataba hadi 2027, mlipigishwa propaganda na wazee wa propaganda. Poleni
Sio kuaminishwa si inatokea na mtu anabadili maamuzi sheikh mbona mnavalia njuga sana ni wazi mnampenda sana fei toto wazee wa mwiko kwa nyuma 🤣🤣
 
Hao Jayrutty wanaonekana ni wahuni tu. Kila msimu watasajili mchezaji mkubwa! Yuko wapi sasa huyo mchezaji mkubwa! Na kama ni Fei Toto, tulipinga humu tangu mwanzo, na bado tulipuuzwa.
Msipende kuropoka mambo msiyoyajua makubaliano ya jayrutty na simba ni kusajili mchezaji mkubwa kila dirisha dogo baada ya kupata faida za mauzo ya jezi, hayo mambo ya usajili hata kina fabrizio huwa wanakosea ndio maana zinaitwa tetesi isitoshe huyo fei huo mkataba mpya kasaini juzi tu, halafu utopolo mnajisahaulisha ninyi wenyewe kila msimu chama alikuwa anasajiliwa yanga ila bado alikuwa anacheza simba na msimu ulioisha mkadanganywa mpanzu anaenda yanga mkajaa ila leo mnashangaa ya simba na feisal
 
Haya kunywa maji sasa ili upunguze munkari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…