Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Pole sana mkuu, kuitwa kolo au uto ni kawaida tu hapa jukwaani. Utani hatuwezi kuukwepa. Tupe updates tukamuania saana eneo hili hapa jamvini.
 
Uwezo wako ndio unaokupa namba. Hakuna ubaguzi
Uwezo mkubwa ni kweli lazima ulipe namba , ila ubaguzi upo angalia mtu kama vinicius je mchezaji mkubwa kama yule alilia mbele ya jukwaa, akina Sadio manê ,

Luis Miqsouson nao waliliongelea japo sio kwa ukubwa ,ukiachana na uwezo
 
Nipo hapa kuyasema mazuri ya mama yetu mpendwa Samia mitano tena
Hatua kubwa zimepigwa chini ya uongozi thabiti wa Rais Samia! Hakika 2025 ni historia ya mafanikio! [emoji1430]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…