Ule ni mfumo (Chepassback) uchawi wa Che malone Fondo, toka amekuja hajui kwenda mbele yeye akipata mpira, hajui kingine zaidi ya kurudisha mpira kwa kipa.Hivi wakuu, ni nani alieanzisha ule mfumo wa Simba sc kucheza Kwa kurudisha mpira nyuma, ni kocha, wachezaji au viongozi (falsafa)???
Ni mfumo wa kisen*e sana mam*e
Atakuwa kocha kabariki maana mbona asikataze?Hivi wakuu, ni nani alieanzisha ule mfumo wa Simba sc kucheza Kwa kurudisha mpira nyuma, ni kocha, wachezaji au viongozi (falsafa)???
Ni mfumo wa kisen*e sana mam*e
Una sound kama falaMpaka sasa hadi kwenye usajili Simba wanaonekana failure,Azam ,Yanga,Big Stars wanapambana, kamati ya usajili ya Simba ni mazumbekuku
Viongozi wanahusikaje kwenye mifumo ya timu kucheza uwanjani?Hivi wakuu, ni nani alieanzisha ule mfumo wa Simba sc kucheza Kwa kurudisha mpira nyuma, ni kocha, wachezaji au viongozi (falsafa)???
Ni mfumo wa kisen*e sana mam*e
I guess ni ile manager less club"Nilifuatwa na Club moja ambayo ilikuwa na nia thabiti ya kuhitaji Huduma Yangu Lakini niligoma kujiunga nayo kwasababu Club haina miundombinu mizuri ya kuniwezesha kufanya kazi kwa ufanisi"
~Rhulan Mokwena
Bado Simba anapbana na rimu moja ya kaskaziniMkuu vipi kuhusu usajili wa yule beki wa al hilal Khadim Diaw nilisikia anaenda unyamani
YapI guess ni ile manager less club
Tatizo ******* ******* kama wewe hamwezi kuisha,misimi miwili iliyopita ilikuwa hivi hivi wachezaji wa kimataifa wazuri hawazidi 4 kwenye 12, sasa hivi unasema unajua mipango ya usajili wa hizo timu wakati zinaonekana?kwani huoni Singida na Azam walivyo?acheni kuwa ******* ******* kusifia ujingaUna sound kama fala
We unajua mipango yote ya usajili wa hizo timu?
Ni Gor MahiaI guess ni ile manager less club
Ni Gor Mahia
Chama kawa mzururajiMkataba wa Chama umeisha, hajasaini mwingine. Azam wanamtolea macho
U're not even worth the dust under my shoes, Stay beneathWords coming from fuckingh dirty mouth low life level piece of crap. Go to my ignored list you big and black baboon.
Wengine wanasema yeye ndio kaipa Simba thank you kwa sababu hapewi muda wa kutosha uwanjani.Valentino Nouma beki ya kushoto Simba apewa Thank You...
Bado una sound kijinga kijinga TU, punguza mihemko hao Singida na Azam wamefika wapi sasaTatizo ******* ******* kama wewe hamwezi kuisha,misimi miwili iliyopita ilikuwa hivi hivi wachezaji wa kimataifa wazuri hawazidi 4 kwenye 12, sasa hivi unasema unajua mipango ya usajili wa hizo timu wakati zinaonekana?kwani huoni Singida na Azam walivyo?acheni kuwa ******* ******* kusifia ujinga
SIMBA KUACHANA NA WACHEZAJI WAFUATAO WA KIGENI.
1. Valentine Nouma.
2. Chemalone Fondoh.
3.Augustine Okejepha.
4. Fabrice Ngoma.
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charles Aohua ( viongozi wanaparangana)
7.Leon ateba.
8. Steven Mukwala. ( Mshahara mkubwa sana Output 0
WACHEZAJI WA NYUMBANI
1. Ally salum.
2.Aishi Manula.
3.omari omari.
4. Mzamiru yasin.
Hapa Mukwala angebaki, yasijetokea Yale ya phiri na baleke wote wakaondoka kwa wakati mmoja na kulete washambuliaji wapya fredy na JobeSIMBA KUACHANA NA WACHEZAJI WAFUATAO WA KIGENI.
1. Valentine Nouma.
2. Chemalone Fondoh.
3.Augustine Okejepha.
4. Fabrice Ngoma.
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charles Aohua ( viongozi wanaparangana)
7.Leon ateba.
8. Steven Mukwala. ( Mshahara mkubwa sana Output 0
WACHEZAJI WA NYUMBANI
1. Ally salum.
2.Aishi Manula.
3.omari omari.
4. Mzamiru yasin.