Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Timu ilishajengwa mwaka 1936,hizo zingine ni kuhadaa mashabiki,hamna kombe hata 1 hata ya ligi kuu mnaficha madhaifu ya timu kwenye kujenga timu,unajengaje timu wakati usajili ni wa kijinga misimu mitatu mfululizo
 
Walijua atakuwa na uwezo mkubwa Kama Mayele.
Hata ateba Amesajiliwa Mwishoni kabisa baada ya kocha kutoridhishwa na Uwezo wa Mkwala (Simba walitaka mchezaji mmoja tu wa kigeni kwenye safu ya Ushambuoiaji.

Analipwa Dola 9000
Naweka privacy Shiringi.
Hii kweli mkuu, maana kocha kipenzi chake ni ateba, lkn still anaonekana mukwala ndio mzuri kuliko ateba
 
Mofosse Karidioula anatakiwa na Simba
Mkuu hivi anayefanya usajili pale Simba ni nani kwa sasa hivi. Aliye karibu amshtue kuwa mwaka huu ni bora kusajili wachezaji wanne tu bei mbaya ambao wataleta "impact" kubwa kwenye timu kuliko hii sagula sagula inayoendelea ya kuleta walioshindwa kama huyo Mofosse. Azam, Singida, Yanga wanafunga "booster" huko wao makolo wanaishia kupoint tu wachezaji kwa vidole halafu wanasajiliwa na timu nyingine.

Nilisema juzi hapa na leo ninarudia hakuna timu hapa Tanzania yenye kujua kutafuta na kufanya mazungumzo na wachezaji wazuri kama Simba lakini mwisho wa siku wanasajiliwa na timu nyingine na hata wakati mwingine mahasimu wao. Yaani Simba ya sasa hivi ni kama Arsenal ya Mzee Wenger inascout wachezaji vizuri sana wakitajiwa bei wanakimbia wenzao wanabeba. Stori imeendelea tena mwaka huu mpaka sasa Nouh El Abd , Ecua, Badamasi wameshasajiliwa na timu nyingine na sasa habari ya mujini tunasikia tena Balla Conte naye kashamalizana huko.
 
Tuna Budo usiwe na wasiwasi fanya mambo mengine, kila kitu kipo sawa.
 
Viongozi wa Simba ni sikio la kufa...
Pale wasipotoka wapigaji wanaojulikana itakua hivyo hivyo miaka nenda Rudi...Bora hata magori amejitahid nafas yake...huyo mjinga mwingine aliepewa kusajili ndio sajili zake za akina sawadogo..ngoja kwanza kelele za wanachama ziwe nyingi
 
Simba kuna Upumbavu mwingi sana.

Kamati Ya usajili ikiongozwa na Try Again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…