Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

😂😂 Kwa pamoja tuseme sisi ni taifa la malofa....anyway unajua kwanini wanamuita mastermind ...hahaha..katoka kwa kibu saivi kahamia kwa zimbwe...Hawa mawakala wa wachezaji bongo watakua wanawalipa.wale waandishi wa habari makanjanja ili wawajaze upepo mabosi...saivi lazima ahamie kwa zimbwe mana kibu hashtui tena..ndio mana anamtafutia mwenyewe timu marekani huko hata hii kumtafutia timu marekani inaweza kua danganya toto anajaribu kugusanisha fuse...fumbavu..
 
Huyu mbona ndiyo alianza kuwapa thank you zamani tu.
Ngoma alishapost kuondoka Simba kuanzia 29th june






This is not news

Nashindwa kuelewa kati yake na Simba nani kampa mwenzake thank you
 
Usajili wa Simba misimu iliyopita ulikuwa wa hovyo,lakini Ahmed Ally na kina Magungu wanaaminisha mashabiki makubwa kila msimu,heri wangekaa kimya kuliko kuaminisha watu ujinga,mechi ya Simba itakosa mashabiki maana hamna hata mvuto,kama usajili ndo huu tunazidiwa na Azam na Singida tutarajie msimu mpya tukashika hata namba 4 kwenye msimamo.
 
Hiyo ndo maana Rage aliwaita mbumbumbu
 
Shida ipo kwa Tarumbeta Ahmed Ally..Maneno mengi kupalilia kibarua chake.Huyo ni wa kunaswa vibao aache kutia watu matumaini hewa.
 

Doh!

Sasa si ni kama wanaanza upya maana kuna wachezaji kadhaa wa first 11...
 
Usiwaze mwanangu marefa watatu - boost ...
 
Nashangaa mitaa ya Dar anayozunguka hamna hata watu wanamzomea,jamaa angenyamaza tu kimya kuliko kuongea upupu
Mashabiki oya oya Bado wapo wapo ambao wanaweza kushangilia kuambiwa anakuja straika anachana Hadi nyavu...ila naona wakiendelea kupungua kadri miaka inavyokwenda na sayans na teknolojia inavyozidi kukua....nakuambia kutuliza hii watafanya usajili wa kisiasa anaweza kununuliwa Feisal nakuambia...
 
Ndo kazi kuu ya mawakala Kate ulimwenguni kwa sasa. Sioni kosa lake hapo
 
Na ndo staili yake! Nakumbuka kwenye ule mkataba wake 2023/24 ilikuwa hivi hivi, na kweli Simba tukaingia King hasa baada ya kusikia anataka kwenda Uto!
Kipindi kile aliwajaza sauzi top club zote wanamgombea
 
Mapema sana kukata tamaa dirisha la usaji bado sana lipo wqzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…