Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Sidhani kama watamweza Feisal,kamati ya Simba ya usajili inatakiwa ivunjwe kuwe na mtu mmoja akifeli lawama apewe yeye ni rahisi kumwondoa kuliko watu wengi wa 10%
 
"Msimu huu hatuna kazi kubwa sana kwa sababu hatutengenezi timu tena, sasa hivi tumeshatengeneza misingi imara. Tukisema Simba tusisajili hata mchezaji mmoja, tunacho kikosi cha kwanza cha kuipeleka Simba fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Tunayo timu ya kuipeleka Simba kwenye kuwania ubingwa wa Ligi Kuu."

Ahmed Ally, Afisa Habari Simba SC
 
Yanga wamemsajili Mohamed doumbia, jamaa ana mwaka Hana timu yoyote .... Hapa hatujapigwa kweli?
Alikuwa na mgogoro wa mkataba na timu yake ulaya, sasa akashidwa cheza timu nyingine coz still alikuwa na mgogoro.
Mkataba wake uliisha mwezi wa 6 mwanzoni mwaka huu.
 
Alikuwa na mgogoro wa mkataba na timu yake ulaya, sasa akashidwa cheza timu nyingine coz still alikuwa na mgogoro.
Mkataba wake uliisha mwezi wa 6 mwanzoni mwaka huu.
Mgogoro hauwezi kumuweka mchezaji mwaka mmoja nje, kama haujatatuliwa mchezaji anaruhusiwa kutafuta timu acheze kwa muda wakati suala lake linafanyiwa ufumbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…