Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Mkuu huyo jamaa anatumia mtandao Gani
 
Kwamba Simba isajili wachezaji kwa kuzingatia maoni ya "mchambuzi wa mpira wa bongo"? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!!
 
Alikua na mkataba?
Ulibaki mwaka mmoja uishe ...jamaa wamekubaliana mambo yameisha...
Hapa naskia mavambo amemalizana na uongozi anaondoka ..nganga mbofu...sijakaa vizuri naskia ya kua wakala wa zimbwe uongozi hawamtaki na wanamtuhumi kua snitch wa yanga...kwaio zimbwe kubaki itakua ni mapenz ya Allah...

Ila huyo wakala nilishawah kumhisi tofaut tangu nilipomsikia akihojiwa na redio Moja hivi maarufu kipindi.kile Cha sakata la kibu..huyu jamaa ana aura flan mbaya na Simba...sijui lakin , ila ndio taarifa zilizopo...
 
Kiufupi Zimbwe hatakiwi tena Simba.
 
Joshua Mutale ameachana na Simba
Sasa atarejea timu yake ya Zamani Power dynamos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…