Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Aucho amecheza mechi nyingi na hakuwa mtoa assit wala mfunga magoli. Na bado alikuwa ni mhimili kwenye eneo la ulinzi. Kwa hiyo huyo mchezaji atawasidia walinzi kulinda, halafu akina Pacome watafunga. Na huu ndiyo mgawanyo wa majukumu.
Mechi nyingi ngapi?

Lini Aucho aliwahi kumaliza msimu bila assist wala goli?

Hapo kumbuka tumetoka kujadili mechi 55 hapo ni msimu mmoja tu.
 
Yah hio ndo inategemeana na style ya mchezaji mwenyewe, na coacher anavyo mseti.
 
Mechi nyingi ngapi?

Lini Aucho aliwahi kumaliza msimu bila assist wala goli?

Hapo kumbuka tumetoka kujadili mechi 55 hapo ni msimu mmoja tu.
Labda ungeziweka hizo takwimu zake za magoli na assist. Maana kwa upande wangu sikumbuki.
 
Yanga Hana shida, hata Simba achukue Feisal...yanga tushatibu homa kidogo tulokuwa nayo.
Ligi sasa ianze ubishi uhamie Kwa GSM
Shida ya yanga ilikuwa ni kati kati , aucho ailishachika, azizi ki nae ndo hivyo msimu huu, mwili ukiongezeka pamoja na uzito. Yanga number 6 kwao ilikuwa shida sana.

Wametibu matattizo Yao.
Kwa balla conte , dombia, na huyo anaitwa kouma sijui.
Na wachazaji wengine
 
Mbona Yanga walimtoa Mayele wakati ni key player na wako na project nae?
Mkuu yanga aliondoka bangala, mayere, lomalisa, fei, wengi tulimini itateteleka lkn still ikawa imara.
Aliondoka azizi ki tukaamini itawapa shida lakini bado.

Ishu hapa ni viongozi kujiamini tuu na timu Yao,
Tofauti na wale goli kipa anaumwa basi hatuchezi tarehe 8
 
Nguvu nyingi sana zinatumika kumtetea Bala Conte Qbaabake ole wake awe galasa kama mkata umeme Justin Zulu
 
Nguvu nyingi sana zinatumika kumtetea Bala Conte Qbaabake ole wake awe galasa kama mkata umeme Justin Zulu
Kocha fadlu ni kocha mzuri sana wa kuchagua wachezaji ila sijajua kama anaweza kiwatumia ngoja tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…