Hatacheza...kocha kapewa nguvu sijui kama umenielewa. .ila unachosema hakipo mana kocha mwenyewe anamkubali fei. Kwaio hoja yako ni MFU.Vipi kama kocha hajampendekeza fei toto ila viongozi wa simba wamemsajiri. Naye hatacheza?
Pamoja Sana mkuuKumradhi mkuu🤣🤣
Man U ipi bro😂😂😂,Ubingwa wa ulaya gani unaozungumza.Manchester Utd kamaliza wa 15 epl ..na kachukua ubingwa ulaya hapo vipi..nzuri au mbovu!??
Ulaya ya Nanjilinji.......Man U ipi bro😂😂😂,Ubingwa wa ulaya gani unaozunguzia?
Huna akili kumbeUlaya ya Nanjilinji.......
Basi tuwekee orodha ya wachezaji ambao kocha hajawapendekeza ili tuwajue, hata wasipocheza tusihojiHatacheza...kocha kapewa nguvu sijui kama umenielewa. .ila unachosema hakipo mana kocha mwenyewe anamkubali fei. Kwaio hoja yako ni MFU.
Na wewe naomba sababu kwamba kwa nini hudhani kua kocha wa Simba hawez kumkubali huyo mchezaji ili na Mimi niweze kukudhibitishia kua mchezaji huyo anapendwa na karibia makocha wote wa ligi kuu sio simba tu.Basi tuwekee orodha ya wachezaji ambao kocha hajawapendekeza ili tuwajue, hata wasipocheza tusihoji
Labda niko nyuma sana na mpira. Naomba uthibitisho kocha wa simba akionyesha hali ya kumkubali Fei ili hoja yangu isiwe "MFU".
Mimi sijadhani ila nimehoji uhalisia wa kauli yenu kwamba kocha asipompendekeza mchazaji basi hachezi. Ndiyo maana nimeomba uthibitisho, kocha akiwa anamkubali Fei ili hoja yangu iwe MFU kama ulivyosema.Na wewe naomba sababu kwamba kwa nini hudhani kua kocha wa Simba hawez kumkubali huyo mchezaji ili na Mimi niweze kukudhibitishia kua mchezaji huyo anapendwa na karibia makocha wote wa ligi kuu sio simba tu.
Na wewe naomba sababu kwamba kwa nini unahoji kwa kudhania yakua kocha wa Simba hawez kumkubali huyo mchezaji ili na Mimi niweze kukudhibitishia kua mchezaji huyo anapendwa na karibia makocha wote wa ligi kuu sio simba tu.Mimi sijadhani ila nimehoji uhalisia wa kauli yenu kwamba kocha asipompendekeza mchazaji basi hachezi. Ndiyo maana nimeomba uthibitisho, kocha akiwa anamkubali Fei ili hoja yangu iwe MFU kama ulivyosema.
Sijahoji kwa kudhani, ila nimehoji uhalali wa kauli yako ya kwamba kocha asipompendekeza mchezaji, basi hachezi. Yani hata mchezaji akionyesha kiwango kizuri, basi sababu hajapendekezwa basi asichezeNa wewe naomba sababu kwamba kwa nini unahoji kwa kudhania yakua kocha wa Simba hawez kumkubali huyo mchezaji ili na Mimi niweze kukudhibitishia kua mchezaji huyo anapendwa na karibia makocha wote wa ligi kuu sio simba tu.
Anaelekea wapi?Thank you Clement Mzize
Lazima kuheshimu.makubaliano mliyoingia hata akicheza vizuri Bado mmekua mmevunja makubaliano na ana Haki ya kutomchezesha huyo mchezaji hata akiwa anacheza kama Mbappe.Sijahoji kwa kudhani, ila nimehoji uhalali wa kauli yako ya kwamba kocha asipompendekeza mchezaji, basi hachezi. Yani hata mchezaji akionyesha kiwango kizuri, basi sababu hajapendekezwa basi asicheze
Mangungu nimemuona katavi huku eti kaniambia anatafuta wachawi wa radi kwa ajili ya kuwaleftisha wachezaji wa uto.Yeah hata mimi nilisikia fadlu kasema msimu ujao hatamtumia mchezaji yeyote ambaye si pendekezo lake, mimi naona simba tuende hivi hivi na kama timu itaanza kufanikiwa basi tutajua mchawi nani (japo mangungu muda wake ukiisha inabidi atupishe), maana nasikia safari hii wale wazee wa asilimia kumi na wale mamluki wamewekwa pembeni kwenye usajili nao wanasubiri kusikia mitandaoni kama sisi tu
Qatar StarsAnaelekea wapi?
Geita Gold kusugua benchAnaelekea wapi?
Man u kachukua kombe lipi la ulaya 🤣🤣🤣Manchester Utd kamaliza wa 15 epl ..na kachukua ubingwa ulaya hapo vipi..nzuri au mbovu!??
Mkuu nipo makao makuu ila inshallah nikipata nafasi lzm nitembelee😁Pamoja Sana mkuu
Karibu nzovwe pia ,maeneo ya jirani na click point walau weekend hii
Kashika nafasi ya pili EUROPAMan u kachukua kombe lipi la ulaya 🤣🤣🤣