Ivi nyie makolo wa ukoloni mtaleta team kweli ngao ya jamii?
Soon mtarudi huku ni suala la mudaKila timu ioneshe makombe yake msimu huu
Tuache maneno
Hakuna kocha mkubwa na mwenye uzoefu ataacha kumpendekeza mchezaji kama feisal, labda naye awe mamluki na awe na mission maalum ndani ya club, au vinginevyo awe na pendekezo la mchezaji bora zaidi kuliko huyoVipi kama kocha hajampendekeza fei toto ila viongozi wa simba wamemsajiri. Naye hatacheza?
Ni ubingwa upi huo wa ulaya aliochukua man u msimu huu au unamaanisha kufika fainali ya europa ama umewachanganya na tottenham ambao ndio waliochukua huo ubingwa, halafu inategemea na timu alizokutana nazo man u huko hadi kufika hiyo fainali simba msimu huu ulioisha hawajakutana na timu mbovu hata moja cafcc kwenye hatua za robo na nusu fainali, wapinzani wote wa simba wamemaliza msimu kwenye top four katika ligi zao siyo kama wengine waliokutana nusu fainali na timu zinazoshuka daraja kwenye ligi zao halafu kutwa kutupigia makelele utadhani walikutana na kina madridManchester Utd kamaliza wa 15 epl ..na kachukua ubingwa ulaya hapo vipi..nzuri au mbovu!??
Kibu hajawahi kumaliza msimu bila goli au kutoa assist.Kibu dee kibu deee .. misimu mitatu ana goli ngapi na huyo ni kiungo mshambuliaji!?? ....
Safi utanicheki mindo mlinda mji😋Mkuu nipo makao makuu ila inshallah nikipata nafasi lzm nitembelee😁
Taja miaka ya hiyo misimu tuhakikishe hizo stats.Kenny Cunningham alicheza zaidi ya mechi 300 bila kufunga Wala assist ..na wapo wengi tu ...
🤣🤣😇😇Sawa sawa, asiposajiliwa itabidi ban ikugeukie wewe
the worst signing to be made by Young Africans this season.. hamna kitu hapo bora Joseph Guede
Tetesi namba 83
the worst signing to be made by Young Africans this season.. hamna kitu hapo bora Joseph Guede
hiyo takataka haiwezi kufikia demands za Young Africans, club ambayo inataraji kuperform better kwenye CAF champions league. inshort anaenda kuwa squad player tu benchi ndio makazi yakeSiyo mbaya kihivyo
Sajili ya semfuko unaionaje mkuu ..Ni ubingwa upi huo wa ulaya aliochukua man u msimu huu au unamaanisha kufika fainali ya europa ama umewachanganya na tottenham ambao ndio waliochukua huo ubingwa, halafu inategemea na timu alizokutana nazo man u huko hadi kufika hiyo fainali simba msimu huu ulioisha hawajakutana na timu mbovu hata moja cafcc kwenye hatua za robo na nusu fainali, wapinzani wote wa simba wamemaliza msimu kwenye top four katika ligi zao siyo kama wengine waliokutana nusu fainali na timu zinazoshuka daraja kwenye ligi zao halafu kutwa kutupigia makelele utadhani walikutana na kina madrid
Kuwa na subira. Huu ni usajili wa mwalimu kwa sababu ameshawahi kumfundisha huyu mchezaji huko Bondeni kwa Madiba.hiyo takataka haiwezi kufikia demands za Young Africans, club ambayo inataraji kuperform better kwenye CAF champions league. inshort anaenda kuwa squad player tu benchi ndio makazi yake
Siyo mbaya kwa upande wa wazawa ukizingatia pia tayari tunaye kagoma kwenye hiyo nafasi anayochezaSajili ya semfuko unaionaje mkuu ..