TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Kwa SPIDI kali ya vitendo adhimu vya mh.Rais SSH.....

Chadema HAINYANYUKI ng'ooo.....

#KaziIendelee
 
Jokate , Basila Mwanakuzi(x- Miss Tanzania 1998), Bulembo. Uzuri na Urembo unachangia. Si Ajabu DAs tukamuona Mobeto, sepetu, na Iwoya.
DAS sio nafasi ya kisiasa, inahitaji shule.
 
Hah ila watu mnatafuta comments nyingi kupitia chadema khaa!
 

Hizo ni shida zako kila mtu apambane na hali yake.

Hamia hizo nchi hukatazwi.
 
Wapi Mshana na Pascal mayalla?

Mkuu Mshana Jr siyo verified user lakini. Hivyo anaweza kuwa au kutokuwa yeyote katika hao.

Au nasema uongo ndugu yangu?

Lakini vipi huyu DC wa kwenye hili soo bado kateuliwa tena?

 
Daaah mpk akina niki wa pili wanakua ma DC sisi tunaukosaje huo ukuu wa wilaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…