Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ili ikusaidieje mkuu?Naomba kufahamu mshahara wa DC ni Tsh ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili ikusaidieje mkuu?Naomba kufahamu mshahara wa DC ni Tsh ngapi?
Nyumbani kwakeMagembe wapi
Eeh maana watu wamepiga sana ule mzigo inaonekana kajamaa kameteseka sana kihisia😅😅😅Atleast Mrs Nick ataanza kua na adabu kwa mumewe
Mh.Dc
Huyu dimera kala shavu nae?Simon Simalenga aka Dimera
Mama anateua vijana wa Dar es salaam wengi atuone na sisi vijana wa mikoani kwenye UDAS na UDED. NawasilishaHahahahaaa Mkeka umechanika wazee wa vetting hawajaniona tatizo niko porini sana kuchoma mkaa.
Hii tabia sio nzuri maana kila nikileta habari mnaiondoa
Mimi nimeleta taarifa kamili
Na mwingine ameleta tetesi.
DAS sio nafasi ya kisiasa, inahitaji shule.Jokate , Basila Mwanakuzi(x- Miss Tanzania 1998), Bulembo. Uzuri na Urembo unachangia. Si Ajabu DAs tukamuona Mobeto, sepetu, na Iwoya.
Jamaa Yuko smart sana kiasi kwamba hadisevu kupewa cheo na huyu mamaAnko Paschal vipi jamani?
Ata mkwamisha mamaAu kwasababu aliwekeza Sana kwa mwendazake
Hivi hawa kenge wote waliochaguliwa na watakaochaguliwa, wana umuhimu gani kwangu mimi kapuku?
Nina hangaika kutafuta kazi, hela ya kula, hela ya matibabu, hela ya ada,...
Hawa makende watanisaidia vipi mpaka nitake kujua nani kateuliwa na nani hakuteuliwa
Nchi zinazojielewa hakuna vikazi vya kipuuzi vya kupeana, sijui kuteuliwa
Nchi Nyambaaafu......
Wapi Mshana na Pascal mayalla?