TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Kwa SPIDI kali ya vitendo adhimu vya mh.Rais SSH.....

Chadema HAINYANYUKI ng'ooo.....

#KaziIendelee
 
Jokate , Basila Mwanakuzi(x- Miss Tanzania 1998), Bulembo. Uzuri na Urembo unachangia. Si Ajabu DAs tukamuona Mobeto, sepetu, na Iwoya.
DAS sio nafasi ya kisiasa, inahitaji shule.
 
Hah ila watu mnatafuta comments nyingi kupitia chadema khaa!
 
Hivi hawa kenge wote waliochaguliwa na watakaochaguliwa, wana umuhimu gani kwangu mimi kapuku?
Nina hangaika kutafuta kazi, hela ya kula, hela ya matibabu, hela ya ada,...
Hawa makende watanisaidia vipi mpaka nitake kujua nani kateuliwa na nani hakuteuliwa

Nchi zinazojielewa hakuna vikazi vya kipuuzi vya kupeana, sijui kuteuliwa
Nchi Nyambaaafu......

Hizo ni shida zako kila mtu apambane na hali yake.

Hamia hizo nchi hukatazwi.
 
Wapi Mshana na Pascal mayalla?

Mkuu Mshana Jr siyo verified user lakini. Hivyo anaweza kuwa au kutokuwa yeyote katika hao.

Au nasema uongo ndugu yangu?

Lakini vipi huyu DC wa kwenye hili soo bado kateuliwa tena?

 
Daaah mpk akina niki wa pili wanakua ma DC sisi tunaukosaje huo ukuu wa wilaya
 
Back
Top Bottom